Kumjua Mungu wa Kweli

Kuna zaidi ya shetani ambaye alikuwa kerubi, uharibifu ulianza pale Moyo wa mwanzo alipowaza ikatokea ishara ya kwanza mbinguni ufunuo 12:1 (mwanamke) iyo ndo iliteka uumbaji wengine humwita malkia wa mbinguni yeremia 44:17-18 na kutokana na hila za kubadilisha Kila file lililokutwa ndani ya Moyo wa mwanzo akachepuka nyoka ambaye ndo wengi wanamjua ambaye kilele chake nae ni hila.
 
Mkuu bado naendelea kupata somo na kutafakari lakn pia naomba nisikuchoshe kwa maswali yangu.
Nilikuwa naomba ufafanuzi wa aliyemwambia Adamu kwamba atakufa yeye ni mavumbi na mavumbini atarudi.
Je ni CHANZÒ HALISI au MOYO WA MWANZO au nani naomba ufafanuz kdgo maan kwa maelezo ya hapo juu yaonesh kwamb Chanzo Halisi anatupenda na hawez kutak tufe kwasbb yeye ni zaid ya upendo
 
Aliyemwambia Adam atakufa ni Mungu majira Saba zilizopita sio CHANZO HALISI, ambaye alikuwa amegawanyika katika nafsi tisa (hapa napo unahitajika Uzi).
 
Aliyemwambia Adam atakufa ni Mungu majira Saba zilizopita sio CHANZO HALISI, ambaye alikuwa amegawanyika katika nafsi tisa (hapa napo unahitajika Uzi).
Nipo kiti cha mbele nasubir
 
Tukianzia kwa Adam kuambiwa kuwa atakufa ni kwa sababu alikuwa ameshageuka na kuwa kitu kingine na aliambiwa na Mungu wa majira saba ambae ni katika level ya Moyo wa mwanzo ambapo hakukuwa na msamaha.
Bali unapokosea unaachwa katika anguko hilo hilo.

Mungu wa majira saba yeye alikuwa na utendaji wa nafsi tisa ambazo ni;
*Mwenyezi,
*Yehova
*Mungu wa daudi
*Mungu wa Danieli
*Mungu wa roho za manabii
*Mungu wa majeshi
*Mungu aliyetuma wote vizazi vyote
*Mola
*Mungu wa eliya.

Ambapo ni tofauti kabisa na CHANZO HALISI ambaye yeye ni Moyo Halisi usiogawanyika wala kugeuka.
Malaki 3:6
Zekaria 14:9

Mungu wa kweli ni CHANZO HALISI ambaye amekuja na msamaha wa bure kwa wote.
Ktk, Isaya 43:25


Bwana Yesu aliwahi kusema ukimjua MUNGU BABA ambaye ndiye CHANZO HALISI katika uhalisia wake na ndiye Mungu wa kweli Unapata Uzima wa umilele na siyo kufa.
Ktk, Yohana 17:3 na Ayubu 22:21.

Lakini ulipokuwa unamkataa Mungu wa kweli ulikuwa unakaribisha mauti kama yaliyompata Adam. Ktk, Warumi 1:26-28.
Hapa kuna suala moja la Adam alipokataa ufahamu wa kutokula tunda la mti wa ujuzi wa mema na mabaya akaamua kula lile tunda basi akaachwa na ndicho kilichomuua na kurudi mavumbini.

Mungu wa kweli anakaa na mwenye ufahamu wa kumjua yeye tu.
Ktk, Mithali 9:10.
 
Unajitaiidi kuelezea ila nikama untranslate kutoka lugha nyingine kuja kiswahili ivo hauelewiki Kabiasa

Mtiriliko wa mada ulitakiwa Utufaamishe CHANZO HALISI ni Nani ?
Kwanini Akufanya yeye Umbaji Adi Ajigawe Kuwa MOYO WA MWAZO? .

Naguvu Ilivyo kuja kuteka Umbaji ilikuwa wapi apo Awali? Je Nguvu hi Inautashi Mkibwa Kuliko CHANZO HALISI
 
Fatilia kuanzia mwanzo taratibu utaelewa,Kuna majibu ya maswali unayojiuliza.
 
Maandiko yanasema,

Yeye yesu enzi za uhai wake alimtolea machozi na Juliayeye awezae kumuokoa na mauti

Je, ni nani Huyo awezae kumuokoa na mauti ,Kama yesu ndie baba Mungu mwenyewe, Katika mwili ,?????????????
 
Je, andiko linaposema ,yeye Katika enzi za uhai wake alimtolea yeye awezae ,kumuokowa na mauti ,

Je,ni nani awezae kumuokoa Mungu Baba mwenyewe Katika mwili na mauti ??????

Na je ,Imani pasipo matendo umekufa ,hapo vipi ,
Unaposema ni Imani TU unapata haki na si matendo ?????


Na kingine Paulo ameonya mengi TU juu ya mwenendo WA matendo anayotakiwa kufuata Muamini ,
Je ,usipofuata matendo hayo unaingia mbinguni ??? ,ambapo yeye anaonya MSIDANGANYIKE,
 
Mungu wa kweli na WA DHEHEBU LAKO na Imani yako KWAIYO izo kujadili VITABU sana INAWEZA kufanya kuingia KWENYE masonic kaaa TAFAKARI jitambue Imani ulizowakuta wazazi wako ndio izoizo Sasa UKITAKA uingie deep Zaidi ndipo utakapo potea njia
 
Mungu wa kweli na WA DHEHEBU LAKO na Imani yako KWAIYO izo kujadili VITABU sana INAWEZA kufanya kuingia KWENYE masonic kaaa TAFAKARI jitambue Imani ulizowakuta wazazi wako ndio izoizo Sasa UKITAKA uingie deep Zaidi ndipo utakapo potea njia
Kama upo kweny msingi wa dini,dhehebu na mapokeo hutaelewa coz aliyetuumba hanahayo yote.
 
Maandiko yanasema,

Yeye yesu enzi za uhai wake alimtolea machozi na Juliayeye awezae kumuokoa na mauti

Je, ni nani Huyo awezae kumuokoa na mauti ,Kama yesu ndie baba Mungu mwenyewe, Katika mwili ,?????????????
Yesu sio MUNGU BABA Wala sio baba yeye ni mwana tu. Yohana 17:1-5,

Mwenye uwezo kukuokoa na nguvu ya mauti ni aliyekuumba
Hosea 13:14

Aliyeumba yaani Mungu Baba ambaye uhalisia wake ni CHANZO HALISI rejea katika 1korintho15:24-28
 
Yesu sio MUNGU BABA Wala sio baba yeye ni mwana tu. Yohana 17:1-5,

Mwenye uwezo kukuokoa na nguvu ya mauti ni aliyekuumba
Hosea 13:14

Aliyeumba yaani Mungu Baba ambaye uhalisia wake ni CHANZO HALISI rejea katika 1korintho15:24-28
Kwani yesu mwana wa Mungu alikuja kufanya Nini Duniani ??
 
Kwani yesu mwana wa Mungu alikuja kufanya Nini Duniani ??
Alikuja kuwasaidia wote wanaoonewa na Ibilisi kwa mujibu wa matendo10:38 na vitu vyote viliwekwa chini yake kwa ajili ya kanisa(sio dini) Efeso 1:22 lakni majira yake imeisha ndipo tunaona katika 1koritho 15:24-28 hasa ukisoma mstari wa 28 "Basi, vitu vyote vikiisha kutiishwa chini yake, ndipo Mwana mwenyewe naye atatiishwa chini yake yeye aliyemtiishia vitu vyote, ili kwamba Mungu awe yote katika wote."
 
Unaweza kunieleza thamani ya damu ya YESU mwana wa Mungu??

Na Kwa Nini Mungu baba ,alionya njia ya kumkomboa mwanadamu na dhambi zao ni Kwa njia ya YESU tu pekee,
ilibidi atumie damu ya mwanae wa pekee ??

Unadhani kwanini??
Na uzito wa Ile damu yake aliyoitowa Kama sadaka ya Milele????????
 
Mungu yuko bize hapa chini...
Hana muda na viumbe dhaifu waliojitengenezea hadithi za kusadikika.....
Hebu fikiria kidunia chako kiko wapi kati ya hizi galaxy mabilioni zilizo na uwezo wa kuwa na vidunia gazillion.....




 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…