Kumjua bosi mpya wa SADC

Waambi

JF-Expert Member
Dec 4, 2012
737
81
Naomba kujua profile ya Dr Stergomena Tax Bamwenda, katibu mpya mtendaji wa SADC. Je alizaliwa wapi? Na kabla ya kuja serikalini alifanya kazi wapi? Ni kweli kwamba ana asili ya Ujerumani?...
 
Naomba kujua profile ya Dr Stergomena Tax Bamwenda, katibu mpya mtendaji wa SADC. Je alizaliwa wapi? Na kabla ya kuja serikalini alifanya kazi wapi? Ni kweli kwamba ana asili ya Ujerumani?...

Tuanze na hili la asili ya Ujerumani. Umelijuaje mkuu?Naona angalau wewe una-kaprofile kake huyu mteule.Tuanzie hapo wengine wanaomfahamu zaidi watasaidia kukamilisha wasifu wake....
 
Nasikia ni mtanzania kwa mama ila baba yake alikuwa kasisi wa kijerumani
Angekuwa na jina la Byarugaba na rangi nyeusi angekuwa Mnyarwanda ila kwa kuwa nyie watanzania ni limbukeni mmezuzuka na rangi mnamvika Utanzania
 
Kuna wakati huyu mama aliitwa Mrs Bamwenda, je kamtema Dr Gratian Bamwenda? Kweli cheo ni sumu ya ndoa
 
I happened to meet Dr. Tax as she is fondly called by collegues,sometimes back in 2005 akiwa chief executive wa BEST iliyokuwa chini ya wizara ya Mipango Uchumi na Uwekezaji ya enzi hizo. Ni mchapakazi,anajiamini na nilimpenda.

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
kwa kweli kuwepo kwa mtanzania huyu pale SADC kama mtendaji mkuu na watz wengine kwenye secretarieti ya SADC kama kina John Tesha naona jinsi tz itakavyozidisha kasi ya kuipiga teke EAC zaidi ya tufanyavyo sasa.
 
Angekuwa na jina la Byarugaba na rangi nyeusi angekuwa Mnyarwanda ila kwa kuwa nyie watanzania ni limbukeni mmezuzuka na rangi mnamvika Utanzania

Utakuwa umetumwa wewe,vipi wewe unaishi kihalali nini ama wewe upo Dar na wazazi wako wa Karagwe wamekuwa repatriated back to Rwanda ndiyo maana una hasira nini.Punguza jazba waambie watafute docs warudi
 
Angekuwa na jina la Byarugaba na rangi nyeusi angekuwa Mnyarwanda ila kwa kuwa nyie watanzania ni limbukeni mmezuzuka na rangi mnamvika Utanzania

attachment.php

Tatizo lenu hamuachi asili, (Ututsi) mkipata tu kacheo mnaukana uTanzania eti mm sio mTanzania ni Mnywarwanda kwa asili
Sasa Wajerumani, Wagiriki, na mataifa mengine wanakimbilia kuomba Utanzania, ninyi hamabdiliki mrudi kwenu
Huyo ni mmojawapo wa waliokukana uTanzania akiwa Prof Chuo Kikuu cha Rwanda sasa ni Mnyarwanda aliyekulia, somea na ndugu kibao Watanzania lakini hakuificha asili yake.
Huwezi mlinganisha Mama Stregomena
bbbb.JPG

Hapa yuko na Mama Banda
mmm.jpg
 
Dr Stergomena Tax Bamwenda ni Mtanzania kupitia kwa mama ambaye ni mtu wa kagera, na babake ni Mzungu.

Kabla ya kuwa katibu mkuu wa wizara ya viwanda, alikuwa BEST, chini ya wizara ya Fedha. Baada ya hapo alienda kuwa katibu mkuu chini ya mzee Sitta kule Afrika Mashariki mpaka alivyoteuliwa juzi kuwa katibu mkuu mtendaji wa SADC.

Ameolewa na Dr. Gratian Bamwenda ambaye kwa muda mrefu alikuwa anafanya kazi Japan na ndiko walikokutana na Stergomena wakati huo anafanya PhD yake huko Japan.

Naomba kujua profile ya Dr Stergomena Tax Bamwenda, katibu mpya mtendaji wa SADC. Je alizaliwa wapi? Na kabla ya kuja serikalini alifanya kazi wapi? Ni kweli kwamba ana asili ya Ujerumani?...
 
Angekuwa na jina la Byarugaba na rangi nyeusi angekuwa Mnyarwanda ila kwa kuwa nyie watanzania ni limbukeni mmezuzuka na rangi mnamvika Utanzania
Wewe una hasira gani na watz? Huyo mama ni mtz na kapendekezwa na tz kwenye hiyo kazi.
Tumlimbukie kwani ndio raia wa kwanza mtz mzungu? wala hatuna ugomvi na wanyarwanda ila ukaburu wa kitutsi.
 
Yaani JK bana kiboko, kawapa kisogo EAC sasa Mtanzania ndio boss wa SADC. Kazi wanayo majemedari wa EAC na hatma yao, hii ndio Tanzania bana.

JK anazidi kuweka historia kidiplomasia, katika awamu yake tumeshuhudia Augustine Mahiga akiongoza Somalia huku akiwa ndie mjumbe maalum wa UN pale, tumeshuhudia mama Tibaijuka akiwa juu kabisa katika UN-Habitat, tumeshuhudia mama Migori (japo alivurunda) akiwa ni 2nd in command katika UN yaani deputy secretary general.

Hongereni watanzania wenzetu, ipeperusheni vema bendera ya nchi yetu.
 
Angekuwa na jina la
Byarugaba na rangi nyeusi angekuwa Mnyarwanda ila kwa kuwa nyie
watanzania ni limbukeni mmezuzuka na rangi mnamvika Utanzania

we ch.izi nini?kwahiyo watanzania wanauliza rangi au popularity yake?tunauliza kwakua hatumjui kwenye siasa za tz.usidiriki kuwadharau watanzania ovyo,hatutakuacha!
 
Huyu mama alishaolewa na muuza madini feki Ndugu Gasper Banyenza. Tena ndoa ya kanisani kabisa ila haikudumu so how comes tena awe ndoa ya pili?
 
kwa kweli kuwepo kwa mtanzania huyu pale SADC kama mtendaji mkuu na watz wengine kwenye secretarieti ya SADC kama kina John Tesha naona jinsi tz itakavyozidisha kasi ya kuipiga teke EAC zaidi ya tufanyavyo sasa.
hatuna mpango wa kujito a eac, kokote tunapiga, nchi yetu imebarikiwa kuwa karibu na uhusiano mzuri na nchi jirani, propaganda zingine zinatokana na watu kama wewe au uzembe wetu, kwani sasa hivi ni zamu yetu kutoa katibu mkuu wa sadc kama ilivyo zamu za nchi nyingine kutoa katibu mkuu wa eac.
 
Back
Top Bottom