strategy mbovu hiyo ya interview
ndugu hao ndo wachawi wenyewe ofisini wakiajiriwa ndo kila siku wanafatilia mambo ya watu badala ya kufanya kazi,kitu muhimu kinacho kufanya upate kazi is u re competent,Wao wanakuwa wanataka kujua umesoma wapi, CBE, IFM, MZUMBE au UD! Na wanacheck kwenye facebook kuona ukoje na unafanya nini kwa sasa! Kama mtu kasoma TIA na wewe umesoma UD unadhan ndo utamshinda kwenye interview? kitendo cha kuitwa kwenye interview hata kama nina GPA ya 3.8 na wewe una 4.5, inamaana kuwa I can stand before na nikikushinda watanichukua mimi na 3.8 yangu! isingekuwa ivyo basi wenye 4.5 wangekuwa wanaajiriwa bila interview.
Ni dalili ya Inferiority complex na kukosa kujiamini...