Kumiliki Silaha za Moto ( Bunduki)!

Umkonto

JF-Expert Member
Dec 27, 2018
2,122
3,641
Kuna kipindi nilikuwa na exhange na rafiki wa mtandaoni anaishi USA.

Nilimuuliza, kwa nini huko USA watu wanapenda kumiliki bunduki! Alinipa jibu fupi sana "Self defence" na akanzisha mada nyingine.

Sikumuelewa vizuri, mana tunavyohabarishwa kuwa, vyombo vya ulinzi na usalama nchini USA vipo imara sana, sasa iweje watu wamiliki bunduki!

Baada ya matukio ya utekaji bongo, taratibu nikanza kuona kuwa, Wamarekani wana akili sana, kuruhusu watu kumiliki bunduki kama simu kwa ajili ya kujilinda.

Watu wasiojulikana wangekuwa wanapata ugumu kidogo, katika kuwateka watu endapo watu wangekuwa wanamiliki bunduki, lakini kwa sasa wanawateka kirahisi sana wabongo kama wanakamata bata.

Watu wakiruhusiwa kumiliki bunduki kama simu, itasaidia kuleta heshima mtaani. Uonevu utapungua.
 
Ni kweli ni vizuri kwa watu kumiliki silaha za moto kwa ajili ya kujilinda

Ila huko kwa "rafiki" yako, ruhusa hiyo imesababisha watu wanauana kama "kuku"

Mwanafunzi anatoka nyumbani na bunduki yake anaenda kufanya maafa shuleni, mtu mwingine anakwenda kwenye mall / kanisani anaanza kuwapiga risasi watu
 
Viongozi wa bongo hawawezi kukubali, na siku wakipitisha hiyo sheria ya kumiliki silaha kirahisi, viongozi na maafande uchwara watakuwa wanaokotwa mitaani kama kuku wa mdondo
 
Kuna kipindi nilikuwa na exhange na rafiki wa mtandaoni anaishi USA.

Nilimuuliza, kwa nini huko USA watu wanapenda kumiliki bunduki! Alinipa jibu fupi sana "Self defence" na akanzisha mada nyingine.

Sikumuelewa vizuri, mana tunavyohabarishwa kuwa, vyombo vya ulinzi na usalama nchini USA vipo imara sana, sasa iweje watu wamiliki bunduki!

Baada ya matukio ya utekaji bongo, taratibu nikanza kuona kuwa, Wamarekani wana akili sana, kuruhusu watu kumiliki bunduki kama simu kwa ajili ya kujilinda.

Watu wasiojulikana wangekuwa wanapata ugumu kidogo, katika kuwateka watu endapo watu wangekuwa wanamiliki bunduki, lakini kwa sasa wanawateka kirahisi sana wabongo kama wanakamata bata.

Watu wakiruhusiwa kumiliki bunduki kama simu, itasaidia kuleta heshima mtaani. Uonevu utapungua.
Njia ya kuepuka wasiojulikana ni kukaa kimya na kutokudhulumu..Hadithi itaendelea
 
Back
Top Bottom