Kowan .......kuna kathread ulikaweka kwenye urafiki,mapenzi na mahusianao hukueleweka ok jaribu kuingia kwenye brain icons kwa kutumia wanasaikolojia huenda watajua tatizo lako.......weka mada kisha uwaambie kuwa threads zangu huwa hazieleweki na wanajamiiF.
Kama kweli wewe ni mkeleketwa wa udini...........Anza na zanzibar Christians 10 na Muslims 10 ndio uje kumalizia bara na huo mpango wako wa kuendekeza udini. Hapo sisi wa bara tutakuwa tumejifunza uzoefu wao kuchagua viongozi kwa kigezo cha dini.