Wakuu salaam.
Nimekutana na jamaa hapa ananiambia ashawahi kupiga goli kumi na moja kwa usiku mmoja.
Hii kitu inawezekana kweli? Kuna mtu ambaye ashawahi fikisha?
Nawasilisha.
Unafikisha bila shaka, lakini kuna vigezo vyake:
Uwe umekula chakula cha wastani usishibe kupitiliza.
Awe mpya.
Awe kakulia sana hela zako na kakuzungusha sana na leo umempata.
Katika kumtokea awe alishakujibu dharau mpaka ukatumia kuwadi.
Mlikuwa na chuki baina yenu, sasa mmepatanishwa.
Awe msafi na mlingane "maumbo".
Awe na "bachellor d" ya unyago.
Uwe umelipa madeni na haudaiwi, iwe ni wewe ndiye unadai.
Mazingira ya kufanyia yawe rafiki.
Usikumbushwe au kuombwa hela kabla ya mechi.
Usilinganishwe na kidume yeyote zaidi yako.
Kuwe na ushangiliaji wa ridhaa kila unapofunga goli, liwe la halali ama la mkono.
Paka "mkongo", si kwa sababu wewe ni lege lege, hapana wewe ni shupavu wa kitanda, ila tu unajiweka sawa kisaikolojia uingiapo uwanjani kucheza na timu mpya siku ya leo.
Ili usiwe tena unawaza mambo ya kushindwa, kichwani uwe na jambo moja tu la kuongeza kasi ya kufunga magoli na kujitwalia ushindi.
Kufunga magoli 11 au 12 ni mengi mno kwa mechi moja hata kama magoli yatakuwa ni ya wazi na golikipa kasinzia!