CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,357
- 6,422
Nimefanya uchunguzi wa haraka na kugundua kuwa wanafunzi waliofanya vizuri katika shule za serikali na kuwa katika kumi bora walitoka shule za private na hivyo msingi wa ufaulu wao ni kutoka shule za binafsi. Hii ni sawa maana wanafunzi wanaofanya vizuri O'level wanatoka shule za private na ndio wanachaguliwa kwenda shule za vipaji za serikali zilizojitokeza katika kumi bora!
Sincerely I stand to be corrected!
Sincerely I stand to be corrected!