Don san tan
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 562
- 433
na hawa umewataja kwa MakusudicallyKatika Wabunge uliowaorodhesha, wafuatao hawajafanya lolote zaidi ya kupiga kelele zisizokuwa na tija kwa wapiga kura wao;
1.Joshua Nasari
2.Zitto ACT
3.Lisu Singida
4.Mbatia NCCR
Paulina Gekulu anasimamia vizuri utekelezaji wa miradi ya maendeleo BabatiPeter msigwa
Godbless lema
Tundu lissu
Freeman Mboye
Bashe
Zitto
Heche
KUMRADHI MKUU UNGEWEKA NA WALIOFANYD VIBAYA NAANZA NA 1.SIXTUS MAPUNDA-MBINGA MJINI.Hapa nimekuwekea Top ten ya wabunge waliofanya vizuri kwa Mwaka huu 2016.
Kama nawe kuna wabunge unaowakubali kwa Mwaka huu waorodheshe hapo Chini. comment yako itamfanya Mheshimiwa Mbunge afanye kazi zaidi ili ampiku mwingine katika nafasi hizo na kuweza kuleta maendeleo kwetu sisi wananchi.
1) Hussein Bashe- Nzega Mjini CCM
2) Kassim Majaliwa- Ruangwa CCM
3) Joshua Nassari -Arumeru Mashariki CHADEMA
4) James Mbatia -Vunjo NCCR- Mageuzi
5) Tundu Lissu- Singida Mashariki CHADEMA
6) January Makamba- Bumbuli CCM
7) Zitto Kabwe -Kigoma Mjini ACT
8) Mwigulu Nchemba -CCM.
9) Nape Nnauye- Mtama CCM
10) Martin Msuha- Mbinga Rural CCM
Wakupima wwKatika Wabunge uliowaorodhesha, wafuatao hawajafanya lolote zaidi ya kupiga kelele zisizokuwa na tija kwa wapiga kura wao;
1.Joshua Nasari
2.Zitto ACT
3.Lisu Singida
4.Mbatia NCCR
Ukapimwe akili!!!Katika Wabunge uliowaorodhesha, wafuatao hawajafanya lolote zaidi ya kupiga kelele zisizokuwa na tija kwa wapiga kura wao;
1.Joshua Nasari
2.Zitto ACT
3.Lisu Singida
4.Mbatia NCCR
Kwa vile tu ni wapinzani ndio maana hawafai? Vijana wa Lumumba mna kazi sana, Sijui mnawazia matakoni?Katika Wabunge uliowaorodhesha, wafuatao hawajafanya lolote zaidi ya kupiga kelele zisizokuwa na tija kwa wapiga kura wao;
1.Joshua Nasari
2.Zitto ACT
3.Lisu Singida
4.Mbatia NCCR
Kwa hii ORODHA yako uliyepatia ni Bashe, Lisu na Mbatia pekeeHapa nimekuwekea Top ten ya wabunge waliofanya vizuri kwa Mwaka huu 2016.
Kama nawe kuna wabunge unaowakubali kwa Mwaka huu waorodheshe hapo Chini. comment yako itamfanya Mheshimiwa Mbunge afanye kazi zaidi ili ampiku mwingine katika nafasi hizo na kuweza kuleta maendeleo kwetu sisi wananchi.
1) Hussein Bashe- Nzega Mjini CCM
2) Kassim Majaliwa- Ruangwa CCM
3) Joshua Nassari -Arumeru Mashariki CHADEMA
4) James Mbatia -Vunjo NCCR- Mageuzi
5) Tundu Lissu- Singida Mashariki CHADEMA
6) January Makamba- Bumbuli CCM
7) Zitto Kabwe -Kigoma Mjini ACT
8) Mwigulu Nchemba -CCM.
9) Nape Nnauye- Mtama CCM
10) Martin Msuha- Mbinga Rural CCM