Kumfuga rickross????...,

fiter

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2013
Posts
1,144
Reaction score
79
nauliza y mnapenda kumfuga ricros?..,utakuta da2 mrembo kwenye daladala ila akinyanyua makwapa kamfuga ric...unakuta ka2 ni hb ila usoni kamfuga ricros,...unakuta dr au prof mzima usoni kamfuga ricros..unakuta mrembo MASHALAAH ila kamfuga ricros...
 
Kama wewe wa kiume ukimuondoa Rickross kule chini jeshini kazi hupati
 
Grace aliejaaliwa,nashindwa kuelewa inakuaje dume utumie jina la jinsia KE?
 
Grace aliejaaliwa,nashindwa kuelewa inakuaje dume utumie jina la jinsia KE?

ukiona hivyo ujue watu wameisha kuna "nazi" kitamboooo, sahv wanacho fanya wanajilia "kisamvu cha kopo" tu.
 
Grace aliejaaliwa,nashindwa kuelewa inakuaje dume utumie jina la jinsia KE?

xaxa unajuaje mm ni dume hku hujawah kuniona?...kweli wewe ni greater thinker?..mm ni ke kuna wenzak tunawacliana nao walikua wabish
 
ukiona hivyo ujue watu wameisha kuna "nazi" kitamboooo, sahv wanacho fanya wanajilia "kisamvu cha kopo" tu.

ww utakua c riziki km wenzako hawakugeuzi....
 
Huu uandishi wako duu!,itabidi nikutafute bibie nijirizishe kama kweli kule down kwako hakunaga kimwana manywere...
 
Ricros ndo nini? Eti ka2 mara da2...jamani haya mambo yapelekeni tango, cjui Badoo au fesbuku. Mtu kufuga udevu ni personal intrest.
 
wajua Grace huu uwandishi wako .....
 
Last edited by a moderator:
Hivi wewe mbona mada zako na uandishi wako mara nyingi ni wa kijinga jinga tu?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…