Kumfikisha kileleni ni kujitafutia balaa

Kumfikisha kileleni ni kujitafutia balaa

Teheeeee alitakiwa akwambie kiswahili hooooodi jamani hooooodi nakuja mieeee!
 
tatizo ni haki yao mkuu regardless amekuumiza or not. siku nyingine uvae sweta la masponji au magodoro akishika hapati kitu
 
pole sana mkuu...
bleeding_man.jpg

Ni amkaming tuuu hapa au new kamaaa?
 
Bujibuji the master ha ha ha hiyo ndo extremely pleasure lazima ung'ang'aniwe
 
Last edited by a moderator:
Duuuuhhhhhhhhhhhhhhh,

Ila hii ingewafaa wanahusudisha michepuko...

Hivi mtu wa namna hiyo akirudi home anamtell mother house kuhusu huo mkasa??
 
hahahahah...una bahati hakukusukuma ukajikuta umeangukia kichwa na concussion juu!
 
Jamani kiswahili na lugha zetu za asili hazinogi kwenye hii amkaming au ni ung'eng'e tu?
 
Back
Top Bottom