Duhhhh baada ya kabari kutoka kwa mrembo hukupatwa na mnyauko wa kiumbe hai?
mwaJ na nyie Wakurya kumbe huwa mnacheka? Sijawahi kumuona Mwita Maranya akichekaHa ha haaaa hahaaaaa! Hata nisipoingia JF mwezi mzima sitajali jinsi nilivyocheka leo.
mwaJ na nyie Wakurya kumbe huwa mnacheka? Sijawahi kumuona Mwita Maranya akicheka