Kumetokea Tetemeko la ardhi dogo Urambo, Tabora

Kumetokea Tetemeko la ardhi dogo Urambo, Tabora

Mkuu hadi kufikia sasa hakuna kifaa kinachoweza kutoa taarifa ya ujio wa matetemeko ya ardhi
Cha muhimu ni sisi wenyewe kuweka miundombinu bora kwaajili ya kujikinga na madhara ya matetemeko
 
Kumetokea mtikisiko mdogo wa kama sekunde 5 Hivi maeneo ya Wilaya ya Urambo muda huu ,sifahamu kwingineko
Mamlaka husika Tunafahamu mungu ndio mjuaji
lakini kuna utaaalam wakutumia vifaa kujua kutatokea tetemeko au kurudi,
Tunaomba Tupewe taarifa kama litarudi watu tujipange mapema
Upewe tahadhari na nani mkuu, ww chukua tahadhari mwenyewe
 
hata huku Tanzania inakoanzia (dar) nimelisikia pia.
 
kiduku wa Nk anafanya mambo take ningekua Kenya ningemfungulia kesi
 
kiduku wa Nk anafanya mambo take ningekua Kenya ningemfungulia kesi
 
Back
Top Bottom