Kumekuwepo na wimbi kubwa la wasanii kujiingiza kwenye siasa kwa kuwania nyazifa za juu za kuiongozi je hii sio hatari kwenye nchi yetu

Genius Man

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2024
Posts
3,560
Reaction score
7,914
Kumekuwepo na wimbi kubwa la wasanii kujiingiza kwenye siasa kwa kuwania nyazifa za juu za kuiongozi je hii sio hatari kwenye nchi yetu ?

Hili wimbi la hivi sasa na katiba mbovu iliyopo inatupeleka wapi Tanzania pale ambapo kura yako haina maana yoyote, hii inaweza kuwa ndio chanzo cha kila mtu kugombea tu akitaka.

Endapo wasanii hawa watapitishwa kuwania nyazifa za juu za kiuongozi hata kwa njia za katiba mbovu, ndipo Tanzania itashuhudiwa kuwa nchi ya kwanza duniani kuwa na viongozi vilaza sana wengi wao wakiwa ni wasanii.

Ninao wasiwasi mkubwa kuwa nafasi za kiuongozi nchini zikashuka thamani yake ile ya kipindi cha nyerere.

Haya mambo yapo kwasababu ya katiba mbovu na uwepo wa viongozi wasio na nia ya kweli ya kuleta mabadiliko kwenye nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…