Kumekucha Zimbabwe...

Kumekucha Zimbabwe...

Big up Mugabe?are you serious?Umeonana na Wazim popote?can you imagine ikiwaban elites wa CCM kuingia EU
kwa ajili ya human rights abuses?ndio kulichotokea,ametaifisha mashamba toka kwa wazungu ,that is fine,sasa yale mashamba wameshindwa kulima!!!

Zim ilikuwa the basket of Africa,sasa njaa kubwa huko mtu wa kawaida anasuffer

Hapa kama kuna njaa ni tatizo lao cha msingi ardhi ni rasilimali yao kwa sasa. wasipoweza kulima leo watoto na wajukuu zao watalima kama kilimo kitalipa. Ni kipi bora, kubaki na rasilimali au kuwapa neema wageni. Hivi tujiulize kwa Tanzania mahandaki yameachwa katika migodi na ndugu zetu hawana faida na madini hayo kila siku ndege zinatua na kuambaa na mali zetu sasa unataka vipi? Mbaya zaidi subiri mambo ya makaa ya mawe mchuchuma na Liganga badala ya kampuni za kichina zitakiwe ziweke miundombinu ya kusaidia wananchi eti wanawafungulia miradi ya kitimoto na kuku ili wachina wapate chakula, eti na employment!!!! ------- sisi kweli, yaani badala tuwaambie wajenge shule, hospital, barabara, vyuo vya ufundi, n,k eti wanasaidia miradi? Wajinga kama sisi tutoke wapi? Narudia big up Mugabe, kimbiza wazungu na wawekezaji uchwara wote wasio wazimbabwe kwa kuwa hela yao kwanza wanakimbiza nje na multiplier effect kwa uchumi hakuna.
 
Naye siku moja atamchenjia tu kama Kagame alivyomchenjia, na yule mama wa Malawi na sasa camp lote la EAC limeshamchenjia!!!! Na akimchenjia jamaa atampaka sana, we subiri utaona tu. Big up Rais wa Zimbabwe!! Natamani nihamie kwako hata kama shilingi haina thamani ni bora kuliko huku kwetu thamani ya fedha imeshuka (real money) huku wakidanganya eti inflation hakuna!!! Shame.

Well said mkuu...
 
Hapa kama kuna njaa ni tatizo lao cha msingi ardhi ni rasilimali yao kwa sasa. wasipoweza kulima leo watoto na wajukuu zao watalima kama kilimo kitalipa. Ni kipi bora, kubaki na rasilimali au kuwapa neema wageni. Hivi tujiulize kwa Tanzania mahandaki yameachwa katika migodi na ndugu zetu hawana faida na madini hayo kila siku ndege zinatua na kuambaa na mali zetu sasa unataka vipi? Mbaya zaidi subiri mambo ya makaa ya mawe mchuchuma na Liganga badala ya kampuni za kichina zitakiwe ziweke miundombinu ya kusaidia wananchi eti wanawafungulia miradi ya kitimoto na kuku ili wachina wapate chakula, eti na employment!!!! ------- sisi kweli, yaani badala tuwaambie wajenge shule, hospital, barabara, vyuo vya ufundi, n,k eti wanasaidia miradi? Wajinga kama sisi tutoke wapi? Narudia big up Mugabe, kimbiza wazungu na wawekezaji uchwara wote wasio wazimbabwe kwa kuwa hela yao kwanza wanakimbiza nje na multiplier effect kwa uchumi hakuna.

Kweli kabisa mkuu leo hii pita Tanzanite One nje ya geti utakutana na wamasai wanaenda kuchota maji umbali mrefu tena si chini ya Km 8 kwa kutumia Punda wakati pembeni yao wanachimba tu madini, hakuna cha zahanati wala nini.
Kwahali ya namna hii kuna haja gani au faida ya kuwa na mwekezaji wakati anakunyonya na hakuthamini kwa chochote kile?
 
Hapa kama kuna njaa ni tatizo lao cha msingi ardhi ni rasilimali yao kwa sasa. wasipoweza kulima leo watoto na wajukuu zao watalima kama kilimo kitalipa. Ni kipi bora, kubaki na rasilimali au kuwapa neema wageni. Hivi tujiulize kwa Tanzania mahandaki yameachwa katika migodi na ndugu zetu hawana faida na madini hayo kila siku ndege zinatua na kuambaa na mali zetu sasa unataka vipi? Mbaya zaidi subiri mambo ya makaa ya mawe mchuchuma na Liganga badala ya kampuni za kichina zitakiwe ziweke miundombinu ya kusaidia wananchi eti wanawafungulia miradi ya kitimoto na kuku ili wachina wapate chakula, eti na employment!!!! ------- sisi kweli, yaani badala tuwaambie wajenge shule, hospital, barabara, vyuo vya ufundi, n,k eti wanasaidia miradi? Wajinga kama sisi tutoke wapi? Narudia big up Mugabe, kimbiza wazungu na wawekezaji uchwara wote wasio wazimbabwe kwa kuwa hela yao kwanza wanakimbiza nje na multiplier effect kwa uchumi hakuna.

Wazungu hawatunzi sheria za madini.Zinatunzwa na bunge lako tukufu.Kodi wanalipa.kama kodi wanalipa halafu wewe unatumia kwenye big kuendesha big govt na ufisadi what do you expect.Ukubali kuwa wewe huna technology ya kuchimba madini!!.Uarabuni mafuta yanachimbwa na technology ya wazungu.ndio maana nchi za UAE,Qatar,Oman,Dubai etc siku zote watamweshimu mzungu hata design za akina Osama waseme nini.

Zim kuna Uranium,guess what kampuni gani zina mine,ni za Wazungu.

Kwa hiyo ni policy za nchi na upeo wa wanasiasa.Nikupe mfano.
Serikali za EU haziwezi kukubali hata siku moja second hand cars toka Japan zikanyage barabara Ulaya.
Kwanza wanaamini second hand cars zinaleta pollution na hata asthma kwa wananchi.

Ndio maana Ulaya say Uk kuna plant za kutengeneza Nissan,Toyota etc.Huwezi kuagiza second hand cars toka Japan
ushuru huuwezi.Japan wanajua nchi kama Tanzania ni dumping ground ya used cars etc.Hatuna power ya kuwaambia wa japan wajenge kiwanda cha magari bongo.

Mchuchuma/Liganga is the sad case.nalaumu always vilaza wetu.Nafikiri suala la Mtwara limeanza kuamsha watu wengi.

Bila ya kubadili mfumo wa siasa,mambo yatakuwa palepale.Mfumo wa majimbo that is the only solution.
 
Halafu kumbe Zimbabwe haina watu wengi kama tunavyodhani.Mugabe karata yake ni jeshi la nchi na si vingnevyo,
 
Big up mkuu, hakika mimi ninacholalama hata kama tungewapa hao wenye hizo teknolojia na elimu ya rasilimali zetu but ni lazima tuangalie socio-economic impact ya hii miradi. Na ukishaangalia basi unatakiwa uangalie njia ambazo zitawezesha hizo impacts zitokee. Tatizo kama ulivyosema ni vilaza wetu na 10% tunazotaka. Kumbuka kila mradi mkubwa kuna wakubwa wanalazimisha shareholding!!!!!!! Kwa hiyo si rahisi sana wajadili mradi kuendeleza eneo husika maana si dhamira ya mafisadi kufanya hivyo. Ninaumia sana kwa mradi wa Liganga na Mchuchuma kwa sababu nilipouliza michango ya hawa wachina katika socio-economics nikaambiwa kuwa hakuna uchumi zaidi, ila ni swala la uwezeshaji tu kwa kuanzisha miradi ambayo itakuwa ni Soko kwa wawekezaji!!! What a shame, yaani eti kuna mradi wa ufugaji nguruwe, kuku na bustani ile wachine washibe!!! Nikaulize shule, barabara, viwanda, vyuo kama ufundi isaidie vijana, hospital, n,k nikaambiwa ni ndoto za mchana!!! What a shame? Mbaya zaidi walitoa contract kwa kampuni ya nje kufanya Needs Assessment in the favour of investors, unajua unapofanya CNA huku ukiwa na majibu kichwani ni tofauti na ile down top approach. Hapo tunasema eti NDC (National Development Corporation) ina wataalam eti wanaosimamia miradi!!! Sitaki kusema mengi ila hakuna uwekezaji hata mmoja Tanzania utamsaidia mtanzania maskini!! Hatuna akili ya upembuzi wa miradi au kama ipo imeelemewa na vimemo na ufisadi tu.
 
Wachina wametuotea .Bunge letu so weak .Serikali za majimbo ni all the way forward.
Tuwe na poweful local govt.Get rid of these so called Wakuu wa mikoa/wilaya.

How comes Mkapa alienda Kiwira eti kununua mgodi,wakati wananchi wa pale hawana say yoyote?
 
Kuelekea katika uchaguzi mkuu nchini Zimbabwe tayari, Rais Robert Mugabe awazuia waangalizi wa uchaguzi toka nchi za Magharibi na hii ni kutokana na vikwazo walivyomuwekea dhidi yake isipokuwa wale tu wa nchi marafiki....

Sourc:Google mwenyewe...
yuko sahihi

wanamwekea vikwazo yet wanataka kwenda kuona uchaguzi wake

i would have done the same
 
Wachina wametuotea .Bunge letu so weak .Serikali za majimbo ni all the way forward.
Tuwe na poweful local govt.Get rid of these so called Wakuu wa mikoa/wilaya.

How comes Mkapa alienda Kiwira eti kununua mgodi,wakati wananchi wa pale hawana say yoyote?
Ni kweli mkuu, wachia wameshapima udhaifu wetu ndiyo maana wana viwanda katika makazi na hakuna wa kuwauliza!!! Hivi kuna mtanzania nje ya Tanzania anaweza kufanya haya wafanyayo wawekezaji uchwara hapa. Ninaunga hoja kuwa tuwe na serikali za majimbo na nina hakika maendeleo ya jimbo moja yatahamasisha hata majimbo mengine yaamke. Tumekuwa na wakuu wa mikoa na wilaya wanasiasa tu wa kupanga jinsi chama chao kitashinda kwa hila. Cha msingi, sijui tufanyeje ili Civic education iwafikie wengi, ila I am optimistic soon or later Tanzania politics will change given demographic changes in the country!!! Marekani hawakutegemea Black and others will be Majority!!!!! I am sure na sisi at some point in time, wazalendo will be majority!!!!
 
Kuelekea katika uchaguzi mkuu nchini Zimbabwe tayari, Rais Robert Mugabe awazuia waangalizi wa uchaguzi toka nchi za Magharibi na hii ni kutokana na vikwazo walivyomuwekea dhidi yake isipokuwa wale tu wa nchi marafiki....

Sourc:Google mwenyewe...

Mugabe bado kidume Zimbabwe.
Huyu mzee najaribu kupata picha kama Nyerere angekuwepo sijui angekua anapiga nae story gani mtu mzima mwenzie.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
"A nation is greater is than any of its leaders. The leader will go; the nation will continue:A S-fire1::A S-fire1::A S-fire1:
 
Ukimwelewa utagundua....hachekeshi...ni mtu anayepigania haki.....sidhani kama unajua Mpinzani wake NI PANDIKIZI?????Wazungu wanaota ipo siku watarudi tena KWA BOB na kureudishiwa mashamba yao na kulipwa fidia.....

Hii ndio point wengi wamekuwa wanai'miss'! Wamekuwa 'brain-washed' na propaganda za magharibi kuwa Mugabe hafai! Ofcouse he is not perfect, but he is the best man for the indigenous zimbabean! Tvangirai is western puppet. I'd rather stick with babu Mugabe!
 
2 million Zimbabweans wako nje ya nchi.Sasa hivi nchi haiwezi kujirisha.Huyu dikteta amechukua mashamba na kuwapa vilaza wa chama na wanajeshi.Sasa mashamba aliyoyachukua hayalimwi vizuri,mengi ni kichaka tu

onana na Wazim watakwambia kweli.Wengi wako Uk wamejilipua
 
1002317_668321456513526_2693309_n.jpg
 
2 million Zimbabweans wako nje ya nchi.Sasa hivi nchi haiwezi kujirisha.Huyu dikteta amechukua mashamba na kuwapa vilaza wa chama na wanajeshi.Sasa mashamba aliyoyachukua hayalimwi vizuri,mengi ni kichaka tu

onana na Wazim watakwambia kweli.Wengi wako Uk wamejilipua

Haya tunayoyaona zim ni matokea ya ushenzi wa wazungu! Waliingia mkataba wa kuyaacha mashamba baada ya miongo 2! Ikafika muda wa kuyaacha waanza kujifanya mbogo, sasa kama rais wa nchi unapaswa kuchukua maamuzi magumu, na kwa bahati nzuri hakusita kufanya hivyo! Sasa alipoamua kuyarudisha mashamba kwa wazawa, wazungu wakatengeneza mazingira ya kuonyesha wao ni 'victims'...na wakaanza kampeni ya kumu'islotate' Mugabe! Na kama mnavyowafahamu waingereza, they know propaganda as it is evidenced in all arena from sports to everything else, haikupita muda, kila mtu bila kujua akaanza kumlaumu Mugabe! Wakaamua kuweka 'sanctions' huku wakipika mtu wao wanaeamini atakidhi matakwa yao. Hali ya zim imeathiliwa na 'sanctions' zaidi, hata hivyo mambo yameshaanza ku'stabilize'!
Hali ilivyokuwa Zim ni kama SA, unakuta wazawa hawana hata mita moja ya ardhi wakati makaburu ambao by the way ni kama 10% ya pop, wanamiliki zaidi ya 70% ya ardhi na uchumi wa nchi! Wazawa wanaendelea kusota bila kufaidi matunda ya uhuru. Wanakuwa watwana ndani ya nchi yao! We fikiria, tz mambo yakikushinda mjini, unaweza jirudisha kijijini ukalime ukijipanga kwa upya. Haya hayapo SA na hayakuwepo (zim). Kwa hiyo watu wanaishi kwenye mitalo wakiwa na nguvu na afya zao kwa kuwa hawana ajira na hawawezi jiajiri na hawana hata plot ya kulima bustani! Hii mijamaa ikitesa bila hata haya na huruma kwao! Hii ilimfanya Mugabe aseme 'enough is enough'!
Yes, mashamba yalidorora kwa muda, lakini hata hawa wazungu walipopewa hayo mashamba na waziri mkuu wao mzungu wa Rhodeshia ya wakati huo hawakuweza kuyaendeleza kwa takribani miongo kadhaa mpaka huyo mzungu mwenzao alipo 'organize' na kuwapa 'special training' na mitaji ndipo wakaanza ku'pick-up' na miaka kumi ++ iliyofuata wakafanikiwa kuwa kwenye peak ya kuzalisha chakula cha kulisha zim na kuuza nje.
Kwa utaratibu huohuo, wazawa nao Mugabe anawaawezesha na kwa sasa mambo si bure, yanaelekea kuzuri!
It is vey unfortunate waafrica are easily swayed away by western media propaganda!
You may like to view documentaries and interview by the man himself, you 'll really be proud to have such stateman in Africa continent!
check for urself by clicking here
Mugabe interviewed by Dali Tambo on People of the South - YouTube
 
Mugabe bado kidume Zimbabwe.
Huyu mzee najaribu kupata picha kama Nyerere angekuwepo sijui angekua anapiga nae story gani mtu mzima mwenzie.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Kabaki peke yake tu Africa lakini wote waliobaki ni vibara wa wazungu, kidoogo mwenye kamsimamo sema nae hatabiriki Kaguta Museven.
 
Safi sana, huyo ndo Mugabe Simba wa Africa. Ni kweli kabisa, kama wamemwekea vikwazo kwanini wakazane kuingia nchini mwake?
 
Haya tunayoyaona zim ni matokea ya ushenzi wa wazungu! Waliingia mkataba wa kuyaacha mashamba baada ya miongo 2! Ikafika muda wa kuyaacha waanza kujifanya mbogo, sasa kama rais wa nchi unapaswa kuchukua maamuzi magumu, na kwa bahati nzuri hakusita kufanya hivyo! Sasa alipoamua kuyarudisha mashamba kwa wazawa, wazungu wakatengeneza mazingira ya kuonyesha wao ni 'victims'...na wakaanza kampeni ya kumu'islotate' Mugabe! Na kama mnavyowafahamu waingereza, they know propaganda as it is evidenced in all arena from sports to everything else, haikupita muda, kila mtu bila kujua akaanza kumlaumu Mugabe! Wakaamua kuweka 'sanctions' huku wakipika mtu wao wanaeamini atakidhi matakwa yao. Hali ya zim imeathiliwa na 'sanctions' zaidi, hata hivyo mambo yameshaanza ku'stabilize'!
Hali ilivyokuwa Zim ni kama SA, unakuta wazawa hawana hata mita moja ya ardhi wakati makaburu ambao by the way ni kama 10% ya pop, wanamiliki zaidi ya 70% ya ardhi na uchumi wa nchi! Wazawa wanaendelea kusota bila kufaidi matunda ya uhuru. Wanakuwa watwana ndani ya nchi yao! We fikiria, tz mambo yakikushinda mjini, unaweza jirudisha kijijini ukalime ukijipanga kwa upya. Haya hayapo SA na hayakuwepo (zim). Kwa hiyo watu wanaishi kwenye mitalo wakiwa na nguvu na afya zao kwa kuwa hawana ajira na hawawezi jiajiri na hawana hata plot ya kulima bustani! Hii mijamaa ikitesa bila hata haya na huruma kwao! Hii ilimfanya Mugabe aseme 'enough is enough'!
Yes, mashamba yalidorora kwa muda, lakini hata hawa wazungu walipopewa hayo mashamba na waziri mkuu wao mzungu wa Rhodeshia ya wakati huo hawakuweza kuyaendeleza kwa takribani miongo kadhaa mpaka huyo mzungu mwenzao alipo 'organize' na kuwapa 'special training' na mitaji ndipo wakaanza ku'pick-up' na miaka kumi ++ iliyofuata wakafanikiwa kuwa kwenye peak ya kuzalisha chakula cha kulisha zim na kuuza nje.
Kwa utaratibu huohuo, wazawa nao Mugabe anawaawezesha na kwa sasa mambo si bure, yanaelekea kuzuri!
It is vey unfortunate waafrica are easily swayed away by western media propaganda!
You may like to view documentaries and interview by the man himself, you 'll really be proud to have such stateman in Africa continent!
check for urself by clicking here
Mugabe interviewed by Dali Tambo on People of the South - YouTube

Well said mkuu..inatakiwa Rais achukue maamuzi magum dhidi ya kutetea watu wake kama alivyoapa kwenye katiba. Sio hapa nchini kwetu wananchi sehem kibao wananyanyasika na hawa wanaojiita wawekezaji hadi kufikia kuchomewa nyumba zao hata kuuliwa kabisa huku viongozo wetu wakiwa upande wa wawekezaji.

Nakukubali sana Mugabe..Live long!
 
Back
Top Bottom