BOB LUSE
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 3,561
- 2,857
acha unoko hao wapangaji unakuta hana hela anadaiwa hata mwaka/miezi sita.ukimwingiza kwenye system ya TRA alipe kodi,Fine na penalty ?Kodi ya zuio (withholding Tax ) inakusanywa na mpewa huduma. Mfano unapopanga chumba kodi yako 30,000 kwa Mwezi, unatakiwa kumkata mwenye nyumba wako 3,000 ukazilipe TRA.
Hii imekuwa ikifanya kazi vizuri kwenye wapangaji wa majengo ya ofisi. Lakini huku kwenye makazi watu tumekuwa tukiwaachia wenye nyumba kodi za serikali kwa kuwalipa full amount. Sasa walete utaratibu wa namna ya kuwabana wapangaji wa makazi nao walipe hiyo kodi na kuwakata wenye nyumba. Ikiwezekana mikataba ya kupangishana nyumba iwe ni lazima igongwe muhuri wa serikali ya mtaa. huo muhuri usigongwe hadi mkataba uwe umepita TRA kwanza. Kwa ajili ya Tax clearance. Hapo wataweza kukusanya hiyo kodi ya zuio kwa wenye nyumba za kupangisha