Kumekucha tena kazi kweli ipo bongo yetu

Kumekucha tena kazi kweli ipo bongo yetu

Unaelewa kwanini namlaumu rais? rais ndiye mwananchi mwenye mamlaka ya juu nchini na mwenye maamuzi ya mwisho. Unataka kuniambia kama mmoja wa watendaji wake anaboronga rais atashindwa kumuwajibisha kweli? Akifanya vitu kwa mifano believe me, watendaji wake wataogopa ila huyu yanki wetu yeye ni kucheka tu. Nani atamchukulia serious?
Mimi simlaumu Rais labda watu wa kuwalaumu wale Washauri wake ndio wabovu Rais anao washauri wake hao ndio watu wa kuwalaumu ingawa Rais ndie mtendaji Mkuu wa nchi na mzigo wote tunapenda kumtupia yeye kazi kweli ipo hapa nyumbani
 
Yeye ndiye mbebaji lawama za juu kabisa. Watendaji ni yeye ambaye anawateua kama haridhiki na utendaji wa kazi zao cheo chake cha Urais kimempa mamlaka makubwa ya kuwafuta kazi na kuwateua wengine, lakini hafanyi hivyo hadi kusababisha mara mbili kushinikizwa na Wabunge wa MACCM kwamba kuna Mawaziri mizigo ambao utendaji wao ni mbovu sana hawastahili kuwemo katika baraza la Mawaziri. Cha kushangaza inakuwaje Wabunge wa MACCM, Katibu Mkuu wa MACCM Kinana na Katibu Mwenezi wa MACCM waone utendaji mbovu wa hao mawaziri lakini Rais asiuone mpaka ashinikizwe ndio awafute kazi?

Inakuwaje nchini kwa mfano sasa hivi kuna mijadala mikubwa mitatu kuhusu wizi wa shilingi bilioni 200 za Escrow, mabilioni ya Uswiss na misamaha ya kodi ambayo kwa mwaka inafikia shilingi 1.5 Trillioni na Rais wa nchi ambaye aliapa mbele ya mamilioni ya Watanzania siku ya kuapishwa kwake kwamba atayalinda maslahi ya Tanzania na Watanzania awe kimya kiasi hiki? Sasa hicho kiapo cha kuyalinda maslahi ya Tanzania na Watanzania atakifanyia kazi lini?



Mimi simlaumu Rais labda watu wa kuwalaumu wale Washauri wake ndio wabovu Rais anao washauri wake hao ndio watu wa kuwalaumu ingawa Rais ndie mtendaji Mkuu wa nchi na mzigo wote tunapenda kumtupia yeye kazi kweli ipo hapa nyumbani
 
1.jpg
 
Hii inapatikana tu Tzania
too much blah blah malengo mengi kwenye matendo ndoto za alinacha
 
Mimi simlaumu Rais labda watu wa kuwalaumu wale Washauri wake ndio wabovu Rais anao washauri wake hao ndio watu wa kuwalaumu ingawa Rais ndie mtendaji Mkuu wa nchi na mzigo wote tunapenda kumtupia yeye kazi kweli ipo hapa nyumbani


Mh. MziziMkavu, hivi kweli unataka kuniambia kuwa Kikwete japo ana washauri....yaani hajuwi matatizo yaliyopo hapa nchini? Rais is a public servant na anafanya kazi kwa manufaa ya nchi na uwazi isipokuwa tu kazi za kiintelijensia, upo hapo? Yaani Kikwete asijuwe kweli uwepo wa mikataba mibovu nchini? Usikute na yeye ndiye aliyeidhinisha haya ili tu apate maslahi yake. Sasa kwanini asilaumiwe? Bila kuficha, mi naona huyu mtu ni msanii tu na yuko madarakani kwa manufaa yake.
 
Last edited by a moderator:
Nchi feki Serikali ni Feki wananchi wenyewe ni feki labda wanyama ndio Orignall khaaaa......................
nakweli mkuu maana tusingekuwa feki tungechukua maamuzi sahihi kwa yale yanayotuumiza na pia viongozi wangefanya yale yasiotuumiza,aaaaagrrrrrr
 
Usimlaumu Rias kwani Rais ana kazi yake hawezi kufanya kazi zote Rais ni mkuu wa nchi walaumu wale watendaji wake wa Rais aliowapa Uongozi ndio wa kulaumiwa Rais hawezi kufanya kazi zote za nchi hata kidogo.

Rais wa nchi ndiye kiongozi wa maendeleo ya nchi yake kwani anatakiwa kuonyesha njia [ kuwa na vision] sasa kama kiongozi ni kipofu basi ni wazi kuwa nchi anayoiongoza itakuwa haina muelekeo na itapotea!!! Hao unaosema walaumiwe ni wasaidizi wa Rais anaopaswa kuwateua kufuatana na anavyotaka vision yake itekelezwe; sasa kama yeye ni kipofu usitegemee atakuwa na wasaidizi wanaoona kuliko yeye, lazima atachagua watu anaoshabihiana nao!!!
 
Back
Top Bottom