Kumekucha tena kazi kweli ipo bongo yetu

Kumekucha tena kazi kweli ipo bongo yetu

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,037
Reaction score
34,741
Edmafuta(6).jpg
 
Ukitaka kujuwa ufinyu wa nchi kwanza tizama rais wake then chuja akili za wananchi wake!
Usimlaumu Rias kwani Rais ana kazi yake hawezi kufanya kazi zote Rais ni mkuu wa nchi walaumu wale watendaji wake wa Rais aliowapa Uongozi ndio wa kulaumiwa Rais hawezi kufanya kazi zote za nchi hata kidogo.
 
Anapolaumiwa raisi haina maana kwamba eti yeye ndo anauwezo wa kufanya kila kitu lakini ule uwezo wake wakimamlaka ndio unaweza kumuhukumu..mfano rahisi ni kwamba kama we ni baba/mama huezi kufanya kazi zoote za nyumbani peke yako na unawatoto basi utafanya mgawanyo wa kazi mwingine kupika,mwingine kuosha vyombo etc inapotokea mmoja hajapika au kapika kibaya na mgeni amekuja akatambua chakwanza lawama ni lazima ziende kwa mama/baba ambaye ametoa mamlaka sasa kama mtoa mamlaka baada ya kufahamu hayo unafanya nn?unakemea na kuchukua hatua au utanyamaza....sasa raisi wetu anapokosea ni kwamba ameshindwa kutumia madaraka(uwezo alopewa kimamlaka)kama mkuu wa nchi pale anapokutana na jambo linaloharibu au limeshaharibu kitu fulani na hapo ndipo lawama zinakuja kwake na si kumtoa kama unavyodhania...!!shortly president is responsible for each and everything in this country and probably proves failure...#thinking like that#
 
Usimlaumu Rias kwani Rais ana kazi yake hawezi kufanya kazi zote Rais ni mkuu wa nchi walaumu wale watendaji wake wa Rais aliowapa Uongozi ndio wa kulaumiwa Rais hawezi kufanya kazi zote za nchi hata kidogo.

Unaelewa kwanini namlaumu rais? rais ndiye mwananchi mwenye mamlaka ya juu nchini na mwenye maamuzi ya mwisho. Unataka kuniambia kama mmoja wa watendaji wake anaboronga rais atashindwa kumuwajibisha kweli? Akifanya vitu kwa mifano believe me, watendaji wake wataogopa ila huyu yanki wetu yeye ni kucheka tu. Nani atamchukulia serious?
 
Back
Top Bottom