Iptl imeanza enz zile MKATOLIKI MKAPA NI RAIS WA NCHI HII,
TUANZIE NA YEYE KWANZA,
MAANA HUU UOZO WAKE UMEANZIA KWAKE,
MSIWE HARAKA KUSAHAU KIAS HICHO,
MIGODI YA BUZWAGI,UBINAFSISHAJI WA NBC NA WIZI HOLELA WA NYUMBA ZA UMMA UMEANZIA KWA MKAPA,
WOOTE WANA CASE YA KUJIBU,USICHAGUE CHAGUE
Iptl imeanza enz zile MKATOLIKI MKAPA NI RAIS WA NCHI HII,
TUANZIE NA YEYE KWANZA,
MAANA HUU UOZO WAKE UMEANZIA KWAKE,
MSIWE HARAKA KUSAHAU KIAS HICHO,
MIGODI YA BUZWAGI,UBINAFSISHAJI WA NBC NA WIZI HOLELA WA NYUMBA ZA UMMA UMEANZIA KWA MKAPA,
WOOTE WANA CASE YA KUJIBU,USICHAGUE CHAGUE[/QkUOTE]
kwani nani kakuambia anataka kumlinda Mkapa? Mkapa alishachokwa hata na aliemleta.Tatizo la nchi hii ni CCM. we kazi yako kutangaza chuki za kidini tu.
Enzi hizo Muislamu Jakaya Kikwete alikuwa Msoga analima mananasi
Hii post imenikumbusha waziri wa JK Hawa Ghasia akiitetea kuwa hizi ni pesa binafsi na mmiliki aliuza umeme na wote tukautumia hivyo ni haki yake kuchukua pesa zake!Hawa Ghasia ni mweupe kweli kweli! Sijui huo uwaziri kaupata kwa vigezo gani!
Ninachojiuliza ni kuwa ukishakuwa katika ngazi ya uwaziri si unawasiliana moja kwa moja na watu wa Usalama wa taifa!? Je, kama nao walikuwa hawajui hili mpaka waizri anatoa data potofu tena bungeni ni nani yu salama hapa TZ!
Hoja ya Mh. Tundu Lissu kuwa wakati IPTL inaanzishwa, inaidhinishwa na sasa malipo yanatolewa, Kanali JK alikuwa msimamizi mkuu wa taasisi zilizohusika kuidhinisha inapata nguvu hapa!
KYC, KYJ, Wish list, Hahahahaha ni misemo ya wazee wa mujini
ky ndi nn?
....
Hii kitu itengenezewe Bango kubwa hata sisimizi aweze kuona !!!
Hilo lingewezeKana tu ikiwa tungeliweka vizuri kwenye katiba yetu mpya lakini si vinginevyo.Sanasana utakuta tunapigwa sound za reconciliation commitee sijui zinaitwaje zile kamati za maelewano baada ya hapo kimya.Tunaendelea kupigwa sound za kisiasa na sangwiji mpya kila leo.Tushaliwa.Naamin maneno ya Mwasisi wetu Baba wa Taifa aliyemwona Jakaya Mrisho Kikwete hauwezi Urais wa Tanzania.. Unabii wa Nyerere umetimia.. Sasa nchi inajiendea tu kama haina mwenyewe.
Na akimaliza muda wake achunguzwe kwa kina yeye pamoja na familia yake.. Ridhiwani anaukwasi wa mali zisizo na maelezo alikozitoa!! Hawa jamaa jera inaangoja!!!!
Hii ngoma mbichi kabisa..........
vyovyote vile,
mimi binafsi naamini kanisa katoliki linashiriki kwa kias kikubwa sana kututia umaskin ndan ya taifa hili,
wasomi inaozalisha ndio hawa hawa kina chenge wanaoishia kuliibia taifa hili,
mabenk wanayoanzisha ndiyo haya haya kama mkombozi yanayoishia KUFANYA MONEY LAUNDERING KISHA WANAISHIA KUZITAKASA NA KUFANYIA HARAMBEE ZA KILA AINA,
DISGRACE TO THIS NATION
Where is the main topic?
Masahihisho. Ufisadi wa IPTL umeanza mwaka 1994 mzee Mwinyi akiwa rais na waziri wa Maji,Nishati na Madini akiwa Jakaya Mrisho Kikwete ambaye alisaini huu Mkataba kwa niaba ya Serikali!