duh yaani unajua jirani yako kala nini mchana na usiku??!!
Aaah wapi..... ivi Munkari unajua joto la papuchi linavisha yai.....sasa kama ni dushe kuungua lingeshaungua siku nyiingi...au wakati wakugegedana ungekuta inatoka harufu ya nyama choma kwa joto lile. Dushe limeumbwa halishiki moto.
we naye !!! Unaelewa nini kuhusu neno jirani??
Hivi mwanamke kama haendi kazini na hana biashara yoyote anahitaji housegirl wa nini?
Mwanamke mvivu anakimbilia house girl. Mimi ukinambia unataka house girl wewe ndio utamlipa mshahara, nguo zangu wewe ndio utafua, chumba changu wewe ndio utasafisha, kupika wewe ndio utapika
Nina rafiki yangu jana kaniambia anasubiri mwanae aanze kutembea amuache huyo mzazi mwenzie...mwanamke kisirani toka qmejifungua na kazi zote anafanya housegal yeye analala tu.
Dah kweli ujue! Kuna jirani yangu hapa mvivu balaa jana wameshindia chips za kibandani familia nzima mchana na usiku,afu ni vuvuzela hakiyanani mmmewe mvumilivu!!
Hivi mwanamke kama haendi kazini na hana biashara yoyote anahitaji housegirl wa nini?
"...Sasa ngoja nikunong'oneze bibie mwanaume ni kama mtoto wala huitaji kukoroga lumbwata!! Anapenda kudekezwa,kusikilizwa,kuheshimiwa,mambo madogo madogo ya ndani ndo ufanya hata lile tendo la ndoa kunoga...."
Dah! sasa kama ndo hivyo mbona na mimi napenda hayo uliyotaja hapo? Si bure niko singo! Halafu nilifikiri kwenye familia mume ni mfalme, mke ni malkia, housegirl ni mtumishi wao. Kumbe siyo! Sasa mbona nina mpango nikiolewa nikachukue housegirl veta (anayeyajua mapishi na house keeping kwa ujumla) kumbe ndo ntakuwa naleta mkemwenza? Basi majanga! Haya, ngoja niendelee 《《kupata kichen pati》》》 hapa. MMU idumu daima.
Mie naomba unifundishe jinsi ya kuanzisha threadMbarikiwe!! Ni vema mkaufatilia na uzi wa " kiustarabu,ukiona inakufaa ichukue" mtapata.kitu