Hawezi, hawezi hawezimsikilize mwenyewe Netanyahu, anasema this time there will be no next time ...
View: https://x.com/ShadowofEzra/status/2077050058734756026
Iran wanunue tu nuclear weapons. USA na Israel ni hardcore criminals wanaovaa personality ya watu wema!msikilize mwenyewe Netanyahu, anasema this time there will be no next time ...
View: https://x.com/ShadowofEzra/status/2077050058734756026
anayo mbonaIran wanunue tu nuclear weapons. USA na Israel ni hardcore criminals wanaovaa personality ya watu wema!
Hana, ndiyo maana walimvamia. Si unaona jinsi USA asivyo na kiherehere cha kuvamia wenye nukes (e.g., North Korea)?anayo mbona
Shetanyahu anadhani Iran hana Nuclear hahaha yeye wa kwanza atapotezwaMsikilize mwenyewe Netanyahu, anasema this time there will be no next time ...
Benjamin Netanyahu has now publicly threatened to use nuclear weapons against Iran while speaking in Dimona, near Israel's main nuclear research facility, where the country maintains an undeclared nuclear weapons program.Netanyahu made it clear that this "will be a very different event and much more powerful.""We are prepared for any scenario."
Iran anazo Nuclear usitie wasi wasi huyu Shetanyahu ataishia kaburini yeye kwanza kabla ya IranIran wanunue tu nuclear weapons. USA na Israel ni hardcore criminals wanaovaa personality ya watu wema!
Assuming you’re right, wanasubiri kitokee nini ndipo wazitumie? Kuuliwa makusudi kwa head of state wao ilikuwa sababu tosha ya kufungulia nukes!Shetanyahu anadhani Iran hana Nuclear hahaha yeye wa kwanza atapotezwa
Kosa lao ni lipi?Iran wanakera bhana!
Kwa hio Trump akiuliwa USA atatumia Nuclear sio haya tusubiri nasikia siku zake hazipo mbali yeye mwenyewe Trump kakiri hayo.Assuming you’re right, wanasubiri kitokee nini ndipo azitumie? Kuuliwa makusudi kwa head of state wao ilikuwa sababu tosha ya kufungulia nukes!
Ni kama wanazidi kuwa wanyonge tu kila kukicha. Wanyooshwe tu!Kosa lao ni lipi?
Iran hana nuclear, Israel na CIA wangeshajua.Shetanyahu anadhani Iran hana Nuclear hahaha yeye wa kwanza atapotezwa
Wasijiue Stockpile ya Uranium enrichment ipo wapi wajue ana boom hahahaIran hana nuclear, Israel na CIA wangeshajua.
US avamie North Korea kwa sababu gani?Hana, ndiyo maana walimvamia. Si unaona jinsi USA asivyo na kiherehere cha kuvamia wenye nukes (e.g., North Korea)?
Nuclear sio kama matako kila mtu awe nayoShetanyahu anadhani Iran hana Nuclear hahaha yeye wa kwanza atapotezwa
Akiuliwa kibabe kama alivyouliwa Ali Khamenei, watatumia. Wale akili yao sio nzuri—wamewahi kutumia nukes kwenye mazingira rahisi zaidi ya hayo!Kwa hio Trump akiuliwa USA atatumia Nuclear sio haya tusubiri nasikia siku zake hazipo mbali yeye mwenyewe Trump kakiri hayo.