kumekucha na songas wakiingiza mitambo yao bongo

howard

Senior Member
Feb 21, 2011
188
28
Magari ya yakiwa yamebeba mitambo ya kufua Umeme ya Kampuni ya SonGas yakiwa yamepaki nje ya Kampuni hiyo tayari kwa kuingizwa ndani. Mitambo hiyo iliyobebwa na magari hayo inadaiwa ni moja ya jitiada za kampuni hiyo ya SonGas ya kuanza kuzalisha umeme baada ya mitambo ya DOWANS kuzimwa na kusababisha tatizo la umeme ambao bado ni tete hadi sasa kutokana na mgao unaoendelea usiojulikana mwisho wake. (credit: Muhidini Sufiani)
 
3063672.jpg


Njia kuu za uchumi zikimilikiwa na matapeli.
 
Back
Top Bottom