Kumekucha mgogoro Wa Syria

Bess

JF-Expert Member
Oct 4, 2016
543
652
Pamoja na Air defence nzito ya Russia, US imerusha kombora na kuharibu miundombinu ya uwanja Wa Jeshi La Syria, kama adhabu baada ya Assad kutumia chemical weapon kwa waasi
 
sasa kama kuna air defence ya russia syria, basi hapo mmarekani kaonyesha kumzidi mbali sana mrusi, na mrusi itabidi afyate mkia. la sivyo kama asipofyata mkia na marekani ikaona kuna opportunity ya kuisambaratisha mazima russia, iisambaratishe mara moja kusudi tubaki na superpower mmoja tu duniani kuliko huyo mtetezi wa iran na syria.
 
Sema ubaki na mtetezi wa ISIS siyo super power
 
sasa kama kuna air defence ya russia syria, basi hapo mmarekani kaonyesha kumzidi mbali sana mrusi, na mrusi itabidi afyate mkia. la sivyo kama asipofyata mkia na marekani ikaona kuna opportunity ya kuisambaratisha mazima russia, iisambaratishe mara moja kusudi tubaki na superpower mmoja tu duniani kuliko huyo mtetezi wa iran na syria.
Hivi unajua tofauti ya air defense na Tomahawk?

Ndukiiiii
 
National Security Team ya Trump inayojulikana mnaijua lakini? Ni majenerali mazoefu yamejaa mule akina Gen. James Mad Dog Mattis. Hiyo isiyojulikana? Usishangae akina Obama, Hilary, Bush, na wengine waliokuwa wanamponda ni part of his core team. When it comes to national interest hao majamaa ni "wale wale".
 
Kudadako habari unaitoa humu Jf and unasema kumekucha Jf tunapenda news mpya sio zishawekwa siku kadhaa unatukarilisha!
 
Nilifikiri umekuja na habari kumbe hakuna utafiti uliofanya umekurupuka tu
 
Tupende kwenda mbele zaidi kwenye habari. Marekani na Russia walifanya negotiations kabla haya makombora hajarushwa. Russia wakakubaliana wapige hiyo base. Lengo la kufanya hivi ni kuondoa uwezekano wa tukio kama la uturuki kuipiga ndege ya urusi kujirudia au Russia kupiga ndege za USA
 
Back
Top Bottom