jacksonEstate
Member
- Apr 1, 2017
- 58
- 52
Kweli marekani imeshambulia kwa kutumtia Tomawaks missile.....lakini urusi haijapeleka Missile defense system.... Uwezo wa Ku intercept makombora wanao kwani wana S4 na S5 missile defence system...Pamoja na Air defence nzito ya Russia, US imerusha kombora na kuharibu miundombinu ya uwanja Wa Jeshi La Syria, kama adhabu baada ya Assad kutumia chemical weapon kwa waasi