Zak Malang
JF-Expert Member
- Dec 30, 2008
- 5,404
- 234
Ninavyofahamu mimi, gazeti la kila wiki la Changamoto linamilikiwa na shushushu mmoja wa ngazi ya juu mstaafu (jina nafunika kwanza kwa sababu hawa huwa hawastaafu) hivyo habri zinazoandikwa humo kuhusu ya ndani ya serikali ya JK huwa yana ukweli kwa takriban asilimia 100.
Isitoshe gazeti hili lilikuwa ni anti-upinzani katika kipindi cha kampeni mwaka jana.
Leo hii katika stori yake kubwa Maswahiba wamuasi Rais Kikwete linaeleza jinsi rafiki zake wa karibu wanavyomuasi, hali ambayo itamuweka pagumu katika kipindi chake cha pili cha utawala ambacho ndiyo amekianza tu.
Pamoja na mambo mengine, gazeti limesema kwamba hata katika vurugu za Arusha, kuna mkono wa baadhi ya maswahiba hao wa JK.
Swali: Hii si ndiyo dalili inayoonyesha kwamba magurudumu yaanza kunyofoka katika gari la JK?