Kumekucha: Maalim Seif Hamad Kujiuzulu umakamu wa kwanza wa Rais Zanzibar

Status
Not open for further replies.

POMPO

JF-Expert Member
Mar 12, 2011
6,690
2,400
Wakuu,

Hali ya mambo visiwani Zanzibar siyo nzuri hata kidogkids goo, (wala si ya kufurahia) toka jana jioni ilipotoka taarifa ya kufukuzwa kazi kwa Mwanasheria Mkuu wa SUK Athuman Masoud.

Kumekuwa na vikao usiku kucha kwa viongozi na wanachama wa CUF Zanzibar, na kuazimia pamoja na mambo mengine kufanya tathimini ya "KUJIUZULU" kwa makamo wa kwanza wa rais wa serikali ya umoja wa kitaifa. Maalim Seif.

Naam, mmoja wa vijana aliepewa kazi ya kupima upepo ambaye ni mwanasheria wa CUF, anaangalia swala hili kisheria (ikumbukwe kuna makubaliano ya kisheria katika kuongoza SUK).

Baadhi wamepewa angles tofauti na kutoa majibu mapema iwezekanavyo.
Ili Mheshimiwa achukue uamuzi Mgumu haraka leo.

Kama ikiwa ndio hivyo, kesho Media zote ni kujiuzulu kwa Sharif na si kupokeaji wa katiba.

My take:
Kama karidhia yeye mwenyewe Mh.Maalim, na iwe hivyo ila kama ni kupata attention ya media tu siyo.

Stay tuned...

UPDATE: 12:00

1. Ndege ya kukodi kutoka Tanganyika imewasili visiwani Zanzibar muda kidogo na ujumbe wa wazee wazito wa upande wa pili CCM.

2.Baadhi ya viongozi wa UKAWA wamewasili airport Zanzibar akiwemo Dr.Slaa (katibu mwenza UKAWA) haijulikani ni kwa ajili ya hii issue ama la...

3.Kuna kikao kizito kimeanza kuhusu issue hii,(KUJIUZULU MSM) kikiongozwa na baadhi ya wazee ambao wanaonekana wana ushawishi mkubwa na walisimamia MUAFAKA.
katika moja ha hotel Zanzibar.

4. Baada ya habari hizi kusambaa kwa kasi, MAMBO si swari sana DODOMA. Dr. Shein hana raha na atahitajika kurudi Znz hataka.

Stay tuned...
 
Duh kweli hii katiba, sijui rasimu ni haramu. Lakini kwanini maCCM yajifanye yana hati miliki ya kuamua watakavyo?

Yaani baadala ya wananchi kuandika katiba waamue wanavyotaka nchi yao itawaliwe, badala yake watawala ndio wanaamua namna ya kutawala.

wonders never end, only in Tanzania
 
Tanzania Si Shwari Tena.
Askari Wanaulinda Mji Wa Dodoma kwa Askari Zaidi ya 60,000.
 
rasimu haramu ya interahamwe wallahi vibaraka wote wa ccm mtaona rangi na mtajua kwamba kunde si mboga bali mashuzi
 
mabalozi wamewaagomea, yani ni ajabu sana kwa katiba kutengenezwa bila maridhiano
 
Wakuu hao askari 60,000 wote wa nn?kwani dodoma kuna vita?
 
Sawa tu ila mm nashangaa kuna watanzania wanapenda sana hii nchi iingie kwenye vurugu yani kila kukicha ni uchochezi tu nafikiri sasa idara zinazohusika na usalama ziwaangalie kwa makini hawa watu manake kila kukicha agenda zao ni za vurugu na ushawishi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom