Kumekucha: Iran yaunda Kombora la hypersonic

Kumekucha: Iran yaunda Kombora la hypersonic

whatever, tunachojibu ni kwamba russia alipodai ametumia hypersonic na kwamba alijidai hakuna nchi wana hypersonic weapon US ndio wakajibu, na kiuhalisia US hawana tabia ya kuweka wazi silaha zake hadharani ni vile uingie naye vitani uone kitakachokukuta, China anaijua US lakin putini aliikisia US sasa kinachotokea macho yake ndio haamini

Ndio mana nimesema na ukubwa wa kombora la hypersonic aelewe kwamba ni sialaha ambayo US anazo tena kwa mafanikio zaidi nadhan uliona kidogo walipojaribu kwa mafanikio ambapo speed yake walisema ni kubwa zaidi kuliko hata mawimbi ya sauti
Wewe wasema US wana hypersonic wakati wao wanafanya majaribio ya kuzitengeneza na bado wameingia makubaliano na Japan na Australia kushirikiana katika hiyo project.
Sasa tukuamini wewe au wao?
 
Wewe wasema US wana hypersonic wakati wao wanafanya majaribio ya kuzitengeneza na bado wameingia makubaliano na Japan na Australia kushirikiana katika hiyo project.
Sasa tukuamini wewe au wao?
Hiyo habari ya kuingia kwenye makubaliano na Japan na Australia kwenye unayoiita project umeileta wewe hapa jf., mimi nimekwambia baada ya russia kutumia silaha ya hypersonic na kujisifu, siku ya 2 US walijibu kwa angalau kutest hiyo hypersonic kwa mafanikio zaidi kumuonyesha mrusi kwamba, It is not you alone, US is home for everything. Sasa habari za project wewe kaa nayo kwenye masikio yako tu Mrusi kaisha sasa anadanga danga silaha kutoka Iran
 
Back
Top Bottom