Kumekucha: Iran yaunda Kombora la hypersonic

"Jenerali Hajizadeh ameongeza Amebainisha kuwa, kombora hilo lina kasi kubwa na uwezo wa aina yake, na kwamba hakuna teknolojia yoyote duniani inayoweza kulitungua hata katika kipindi cha miongo kadhaa ijayo." Mwisho wa kunukuu.

Niliposoma hapo iikanibidi niishie hapo hapo, mlioendelea kuisoma hiyo hadithi tafadhali niambieni simulizi ilikuwa inaendeleaje?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Iran yaunda kombora la balestiki la Hypersonic
Hawa jamaa Marekani alishachelewa kuwadhibiti mapema hii ndo funga kazi

Kamanda wa Kikosi cha Anga za Mbali cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu IRGC ametangaza kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imefanikiwa kuzalisha kombora la balestiki la Hypersonic, lenye uwezo wa kupenya mifumo yote ya ngao ya ulinzi wa makombora duniani.

Brigedia Jenerali Amir Ali Hajizadeh ameyasema hayo leo Alkhamisi pambizoni mwa maadhimisho ya miaka 11, tangu kufariki dunia Hassan Tehrani Moqadam, 'Baba wa sekta ya makombora ya Iran.'

Brigedia Jenerali Hajizadeh ameeleza kuwa, kombora hilo jipya la balestiki la Hypersonic lililoundwa kikamilifu na wataalamu wa Iran, mbali na kuwa na uwezo wa kupenya mifumo ya kisasa ya kutungua makombora, lakini lina uwezo mkubwa wa kupiga shabaha kwa usahihi mkubwa.

Amebainisha kuwa, kombora hilo lina kasi kubwa na uwezo wa aina yake, na kwamba hakuna teknolojia yoyote duniani inayoweza kulitungua hata katika kipindi cha miongo kadhaa ijayo.

Kamanda wa Kikosi cha Anga za Mbali cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ameeleza bayana kuwa, "Kwa miaka mingi, tumekuwa tukiendeleza shughuli zetu katika anga za mbali chini ya vikwazo shadidi na vya kikatili, lakini leo hii tumefanikiwa kuzalisha kombora la kisasa kabisa la balestiki la Hypersonic."

Jenerali Hajizadeh ameongeza kuwa, kombora hilo jipya lina uwezo wa kupiga mifumo ya kupambana na makombora ya maadui, na kwamba uzalishaji wake umefungua ukurasa mpya na ni hatua kubwa kuelekea kwenye uzalishaji wa makombora ya kizazi kipya hapa nchini.

Jamhuri ya Kiislamu ya Iran sasa imejiunga na nchi chache duniani zenye teknolojia ya kutengeneza makombora ya aina hiyo ya Hypersonic yenye kasi zaidi ya sauti; ambazo ni Russia, China, Korea Kaskazini na Marekani.

[https://media]Kombora la Hypersonic lenye kasi ya ajabu zaidi ya sauti

Hii ni katika hali ambayo, Jumapili iliyopita, Wizara ya Ulinzi ya Iran ilizindua mfumo mpya wa makombora ya kujihami ya masafa marefu ya Bavar (Kujiamini) 373 na pia kulifanyia majarbio kombora jipya la Sayyad B4.

Kabla ya hapo, Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran (IRGC) lilizindua kwa mafanikio roketi la kubebea satalaiti la Qaem-100 katika anga za mbali. Iran imepiga hatua na kupata mafanikio haya yote katika sekta ya makombora, mifumo ya ulinzi na anga za mbali licha ya vikwazo vya kidhalimu na mashinikizo ya maadui wa taifa hili.

View attachment 2415234
asante k,wa taarifa lakini Putin halijamsaidia zaidi ya kubomoa majumba ya UKRAIN .wakati wanakimbia ,khesron na mijimingine nadhani wakisahau kulitumia.
 
tea_mobama-_012515064953.jpg
 
Hii hadithi ni nani aliyeitunga?
Kwa mtu abaeijua Iran vizur wala si kitu Cha ajabu kutengeneza Hilo kombora Ila Kama huijui lazima useme hadithi Ila Iran katika vitu anavitolea macho kwa nguvu zote tec ya ulinzi, kumbuka Iran ndio nchi pekee duniani iliyotungua dron ghari zaid ya marekeni huku wenyewe wakiwa wanaamin haionekani lakin wao waliiona toka inavyopaa ikitoka nchi ya UAE hapo ndipo kwa mara ya kwanza Trump alijulishwa kumbe walikua wanajidanganya kua haionekani tena waliitungua kwa kombora moja tu . Kwa kukusaidia maana unaonekana huijui vizur Iran unasikiliza habar za BBC
 
Ili tupate matumani bora angelilifanyia majaribio kwa kulirusha juu ya anga ya Israel. Mwenzake Korea Kaskazini anayarusha juu ya Japan na hata kuyadondosha mita chache kutoka mpaka wake na Korea Kusini.
 
Lugha ngumu sana au hujui kusoma English? sasa unataka nikosomee mimi. Hii nchi lakini sishangai watu kujibu bila kuelewa swali soma mwenyewe shida iko wapi kama hukuelewa hivyo basi ujue lugha bado inakupiga
usijibu kitu huez kitetea
ova
 
Kwa mtu abaeijua Iran vizur wala si kitu Cha ajabu kutengeneza Hilo kombora Ila Kama huijui lazima useme hadithi Ila Iran katika vitu anavitolea macho kwa nguvu zote tec ya ulinzi, kumbuka Iran ndio nchi pekee duniani iliyotungua dron ghari zaid ya marekeni huku wenyewe wakiwa wanaamin haionekani lakin wao waliiona toka inavyopaa ikitoka nchi ya UAE hapo ndipo kwa mara ya kwanza Trump alijulishwa kumbe walikua wanajidanganya kua haionekani tena waliitungua kwa kombora moja tu . Kwa kukusaidia maana unaonekana huijui vizur Iran unasikiliza habar za BBC
tulikubaliana BBC huwa hawaongei.mabaya ya west wao ni kueneza propaganda tu
 
Hypersonic ya kawaida wakati mwenzako USA na NATO Kila siku majaribio Wana fail tangu mwezi June 2021 kafail jaribio karudia tena October 2021 ame fail tena mpk Leo anahangaika View attachment 2415609View attachment 2415610

hiyo ilikuwa zamani: Wameshafanikiwa na wanataka wazichomeke kwenye HIMMARS sasa ambazo S400 HAZIZIIONI MIDUDE YAKE

NA SI MWINGINE ILA WATALAAM WA US NDIO WAMEUNDA CODE NA MAUJANJA NA KUUNDA HUU MFUMO WA INTANETI UNAOTUMIA HAPA SIO HAO IRAN WALA RUSSIA WALA ,CHINA.

KWA TECH USIDANGANYE DUNIA US WATU WENGINE HALAFU HAWAPIGI TARUMBETA ,

WE ULIKUWA UNAJUA KUNA HIMMARS ?? SI UMESIKIA WA RUSSI WANALIA UKO NDIO UKAJUA HAA. SASA ILE HIMMARS HAIKUPELEKWA YENYEWE YA UKWELI PUTIN MWENAKO ANAJUA HILO

By Mike Stone

WASHINGTON (Reuters) -The United States successfully tested two Lockheed Martin Corp (NYSE:LMT) hypersonic missiles recently, the Pentagon said on Wednesday, amid growing concerns Russia and China have had more success developing their own hypersonic weapons.

The U.S. Air Force confirmed it successfully tested its Air-Launched Rapid Response Weapon (ARRW) booster on Tuesday off the California coast. Reuters reported the ARRW test earlier on Wednesday in which the booster was carried aloft under the wing of a B-52H before it was launched. In previous tests, the weapon did not detach from the plane.

"This second successful test demonstrates ARRW's ability to reach and withstand operational hypersonic speeds, collect crucial data for use in further flight tests, and validate safe separation from the aircraft," Lockheed said in a statement.

Air Force Brigadier General Heath Collins, program executive officer, Armament Directorate, said, "We have now completed our booster test series and are ready to move forward to all-up-round testing later this year."

The "all-up-round" includes the booster and the warhead.

Hypersonic weapons travel in the upper atmosphere at more than five times the speed of sound, or about 6,200 km (3,853 miles) per hour.

In a separate hypersonic weapon test, the Defense Advanced Research Projects Agency (DARPA) confirmed it successfully performed the first test of its Operational Fires hypersonic weapon.

The test was conducted at White Sands Missile Range in New Mexico.

The successful tests show progress among the myriad U.S. hypersonic weapons development efforts, which have in cases been beleaguered by failed tests, growing questions about cost and increasing concerns the United States is falling behind in what has become a superpower arms race.

Operational Fires is a ground-launched system that will "rapidly and precisely engage critical, time-sensitive targets while penetrating modern enemy air defenses." DARPA has requested and received $45 million for OpFires in fiscal year 2022.

One of Lockheed Martin's concepts for the DARPA weapon is to use an exiting High Mobility Artillery Rocket System (HIMARS) launcher, like those sent to Ukraine, to launch the weapon.

These successful tests come after a failed June 29 test flight of a different type of hypersonic weapon, the Common Hypersonic Glide Body, at the Pacific Missile Range Facility in Hawaii.

Defense contractors hope to capitalize on the shift to hypersonic weapons not only by building them, but also by developing new detection and defeat mechanisms.

Arms makers like Lockheed, Northrop Grumman Corp (NYSE:NOC) and Raytheon Technologies (NYSE:RTX) Corp have all touted their hypersonic weapons programs to investors as the world's focus shifted to the new arms race for an emerging class of weapon.
 
Kombora la Hypersonic lishatoka sokoni urusi ilijaribu kutumia Ukraine kuangusha majengo lakini likadhibitiwa na mnyama US sasa kutuletea habari za Iran yeye ndo kwanza anaunda sijui ata tuseme nn
Umelewa?
 
Ndio mzee wa TECNO RA7, russia walidhani wanayo wao tu siku ya pili US wakajaribu hiyo Hypersonic kwa mafanikio makubwa zaidi
Nchi ya kwanza kuunda hypasonik missile ni Urusi, USA mpaka leo hajafanikiwa 100% maana last time alipo test zilifeli!
 
Kombora la Hypersonic lishatoka sokoni urusi ilijaribu kutumia Ukraine kuangusha majengo lakini likadhibitiwa na mnyama US sasa kutuletea habari za Iran yeye ndo kwanza anaunda sijui ata tuseme nn
Rudi ukakague ulikosoma hii taarifa maana kwa sasa ndio kwanza mashindano ya kutengeneza silaha za hypersonic yameshika kasi. US kafanya majaribio 2 ndani ya miezi hii mitatu na bado ana project ya kushirikiana yeye Japan pamoja na Australia.
China huyo alifanya jaribio lake ambalo liliwashangaza US kwa kuachia likaenda space na kurudi duniani tena likiwa maneuvered kitu ambacho teknolojia ilikuwa hairuhusu kombora likiwa speed vile linaweka barrier inayozuia mawasilino baina yake na signal zozote kupenya hivyo huwezi kulicommand ukishaset target ndio hvyo. Lakini mchina yeye aligundua mawimbi ya 5G yanaweza penya hiyo barrier.
Kwa hiyo bila shaka hii habari ya urusi kutumia hilo kombora likawa intercepted itakuwa na walakini
 
Labda ya maboksi
Hata alipoanza kuonyesha ndege zake miaka ile.walisema.ni photoshop. Mara vita ya Ukraine US wakaanza sema urusi anatimia drone za Iran, sasa sijui picha za photoshop ziligeuka drones kweli
 
Hawa jamaa si ndio walikuwa na general wao sijui mkuu wa majeshi aliitwa sijui nani selemani alitunguliwaga then wakajambisha kurusha vijikombora vyao sijui ilizimwa Vipi... Anyway ila jamaa Nahisi kama ni mikwara tu Kama kiduku
Nakumbuka baada ya hilo tukio Trump alipaniki kwelikweli! Mpe credit iran pamoja na vikwazo hakati tamaa
 
Sasa mnayosema yamedhibitiwa na Marekani ni yepi maana hayo matatu yaliua maelfu ya mamluki waliokuwa wamejifungia kwa ajili ya mazoezi ya kivita.
Ni lini ilitangazwa kwamba Marekani amedhibiti hypersonic za Russia wakati mara baada ya Russia kuyatumia ndo tukatangaziwa kuwa Marekani nao wameanza kufanyia majaribio hayo makombora.

Hata tunashabikia upande flani basi tujifunze kuwa wakweli kwa sababu majukwaa haya ni sehemu ya kupata elimu pia.
Una kumbukumbu nzuri sana mkuu!
 
Rudi ukakague ulikosoma hii taarifa maana kwa sasa ndio kwanza mashindano ya kutengeneza silaha za hypersonic yameshika kazi. US kafanya majaribio 2 ndank ya mieiz hii mitatu na bado ana.project ya kushirikiana yeye Japan pamoja na Australia.
China huyo alifanha jaribio lake ambalo liliwashangaza US kwa kuachia likaenda space na kurudi duniani tena likiwa maneuvered kitu ambacho teknolojia ilikuwa hairuhusu kombora likiwa speed vile linaweka barrier inayozuia mawasilino baina hake na signa zozote kupenya hivyo huwezi kulicommand ukishaset target ndio hvyo. Lakini mchina yeye aligundua mawimbi ya 5G yanaweza penya hiyo barrier.
Kwa hiyo bila shaka hii habari ya urusi kutumia hilo kombora likawa intercepted itakuwa na walakini
Yani umemchukulia serious huyo jamaa? Duuh!
 
Rudi ukakague ulikosoma hii taarifa maana kwa sasa ndio kwanza mashindano ya kutengeneza silaha za hypersonic yameshika kasi. US kafanya majaribio 2 ndani ya miezi hii mitatu na bado ana project ya kushirikiana yeye Japan pamoja na Australia.
China huyo alifanya jaribio lake ambalo liliwashangaza US kwa kuachia likaenda space na kurudi duniani tena likiwa maneuvered kitu ambacho teknolojia ilikuwa hairuhusu kombora likiwa speed vile linaweka barrier inayozuia mawasilino baina yake na signal zozote kupenya hivyo huwezi kulicommand ukishaset target ndio hvyo. Lakini mchina yeye aligundua mawimbi ya 5G yanaweza penya hiyo barrier.
Kwa hiyo bila shaka hii habari ya urusi kutumia hilo kombora likawa intercepted itakuwa na walakini
whatever, tunachojibu ni kwamba russia alipodai ametumia hypersonic na kwamba alijidai hakuna nchi wana hypersonic weapon US ndio wakajibu, na kiuhalisia US hawana tabia ya kuweka wazi silaha zake hadharani ni vile uingie naye vitani uone kitakachokukuta, China anaijua US lakin putini aliikisia US sasa kinachotokea macho yake ndio haamini

Ndio mana nimesema na ukubwa wa kombora la hypersonic aelewe kwamba ni sialaha ambayo US anazo tena kwa mafanikio zaidi nadhan uliona kidogo walipojaribu kwa mafanikio ambapo speed yake walisema ni kubwa zaidi kuliko hata mawimbi ya sauti
 
Back
Top Bottom