meku7 JF-Expert Member Jul 20, 2015 375 266 Feb 3, 2016 #1 First lady wetu mama Magufuli ameanza rasmi kazi za kijamii baada ya kutembelea wazee wasiojiweza. Huko Nungwi Kigamboni leo hii.
First lady wetu mama Magufuli ameanza rasmi kazi za kijamii baada ya kutembelea wazee wasiojiweza. Huko Nungwi Kigamboni leo hii.
The Boss JF-Expert Member Aug 18, 2009 49,226 116,839 Feb 3, 2016 #2 Sasa 'kumekucha' inakujaje hapo?
meku7 JF-Expert Member Jul 20, 2015 375 266 Feb 3, 2016 Thread starter #4 The Boss said: Sasa 'kumekucha' inakujaje hapo? Click to expand... Kazi imeanza Mkuuu... Watu walimsema sana sasa wanaharakati wa kijamii wawe tayar kumuunga mkono...
The Boss said: Sasa 'kumekucha' inakujaje hapo? Click to expand... Kazi imeanza Mkuuu... Watu walimsema sana sasa wanaharakati wa kijamii wawe tayar kumuunga mkono...
Usher-smith MD JF-Expert Member Jul 7, 2015 9,559 12,324 Feb 3, 2016 #5 Angekuwa kama ma first lady waliopita sasa angekuwa na NGO'S kama 5 hivi
meku7 JF-Expert Member Jul 20, 2015 375 266 Feb 3, 2016 Thread starter #8 Usher-smith said: Angekuwa kama ma first lady waliopita sasa angekuwa na NGO'S kama 5 hivi Click to expand... Ndo harakati zimeanza hapa lazima NGO 's zianze naona anatafuta uzoefuuuu..
Usher-smith said: Angekuwa kama ma first lady waliopita sasa angekuwa na NGO'S kama 5 hivi Click to expand... Ndo harakati zimeanza hapa lazima NGO 's zianze naona anatafuta uzoefuuuu..
meku7 JF-Expert Member Jul 20, 2015 375 266 Feb 3, 2016 Thread starter #9 carrie said: Vizuri Click to expand... Tumuunge mkono sasa
Cynic JF-Expert Member Jan 5, 2009 5,144 1,651 Feb 3, 2016 #11 ni photo op kama photo ops zingine ...
K Kimla JF-Expert Member Jun 8, 2008 3,741 6,432 Feb 3, 2016 #12 meku7 said: Ndo harakati zimeanza hapa lazima NGO 's zianze naona anatafuta uzoefuuuu.. Click to expand... kwani kufungua NGO ni shida hata wewe unaweza kufungua
meku7 said: Ndo harakati zimeanza hapa lazima NGO 's zianze naona anatafuta uzoefuuuu.. Click to expand... kwani kufungua NGO ni shida hata wewe unaweza kufungua
Bailly5 JF-Expert Member Mar 11, 2015 16,402 35,083 Feb 3, 2016 #15 meku7 said: Ndo harakati zimeanza hapa lazima NGO 's zianze naona anatafuta uzoefuuuu.. Click to expand... Mbona hivi
meku7 said: Ndo harakati zimeanza hapa lazima NGO 's zianze naona anatafuta uzoefuuuu.. Click to expand... Mbona hivi
meku7 JF-Expert Member Jul 20, 2015 375 266 Feb 3, 2016 Thread starter #17 Daudi Mchambuzi said: WAMA yake inaanza lini? Click to expand... Naona kipindi cha majaribio sasa.. uzoefu unatafutwaaaa.. meku7 said: Tumuunge mkono sasa Click to expand...
Daudi Mchambuzi said: WAMA yake inaanza lini? Click to expand... Naona kipindi cha majaribio sasa.. uzoefu unatafutwaaaa.. meku7 said: Tumuunge mkono sasa Click to expand...
meku7 JF-Expert Member Jul 20, 2015 375 266 Feb 3, 2016 Thread starter #18 jingalao said: Hivi ni Nungwi au Nunge? Click to expand... Nunge mkuu
meku7 JF-Expert Member Jul 20, 2015 375 266 Feb 3, 2016 Thread starter #19 Kimla said: kwani kufungua NGO ni shida hata wewe unaweza kufungua Click to expand... Tatizo siyo NGO's but tunamulika nafasi yake na mchango wake kama First lady kwa Taifa..
Kimla said: kwani kufungua NGO ni shida hata wewe unaweza kufungua Click to expand... Tatizo siyo NGO's but tunamulika nafasi yake na mchango wake kama First lady kwa Taifa..
mwillab Member Sep 11, 2014 21 1 Feb 3, 2016 #20 jingalao said: Hivi ni Nungwi au Nunge? Click to expand... Nunge