Kumekucha First Lady Mama Janet Magufuli

Kumekucha First Lady Mama Janet Magufuli

meku7

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2015
Posts
375
Reaction score
266
First lady wetu mama Magufuli ameanza rasmi kazi za kijamii baada ya kutembelea wazee wasiojiweza.

Huko Nungwi Kigamboni leo hii.
 
Angekuwa kama ma first lady waliopita sasa angekuwa na NGO'S kama 5 hivi
 
ni photo op kama photo ops zingine ...
 
kwani kufungua NGO ni shida hata wewe unaweza kufungua
Tatizo siyo NGO's but tunamulika nafasi yake na mchango wake kama First lady kwa Taifa..
 
Back
Top Bottom