Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,265
- 17,134
JK alishindwa hata kutamka SASA NALIZINDUA RASMI BUNGE akaishia kupiga porojo. In essence Bunge halijazinduliwa!
Mkuu hili liko wazi kabisa kwamba Tanzania kwanza wako juu, ni watu 'special' wenye kujua (kuamua) nini Tanzania 'mwisho' anataka.
Kwa kifupi wananchi si chochote wala lolote na maoni yao yatatupwa baharini ili Tanzania kwanza asikwazike kwenye starehe zake.
serikali tatu ni mzigo. serikali mbili yatosha
Wapinzani wa nchi hii wanapenda kusikia maneno ya kuwafurahisha hata kama hayana msingi. Hongera Jakaya kwa hotuba yako nzuri.
ccm km mlitaka kupima upepo nadhani majibu yake mmeyapata kwa kuungalia upepo wenyewe tu hapa jamii forum. mtakoma kuringa. Ishu sio mko wangapi kwenye bunge la katiba ishu ni kwamba wananchi tupo makini tunawachungulia huko bungeni tuone mkichakachua maoni yetu tu, mjue hii nchi itachafuka. Si maoni yetu yameandikwa kwa ufasaha na tume ya warioba? Ngoja tuone mtuletee mambo mengine ndio mtuambie hayo mmeyatoa wapi!