Kumekucha Dodomaaaa hatariii!

Kumekucha Dodomaaaa hatariii!

Kujipendekeza ni sifa ya mtu asiyejiamini katika kazi zake, matendo yake, elimu yake na siku zote huwatendei ni manafiki wa kutupwa!
 
rais wa kwanza kuunda vikundi vya mipasho na kuvihonga hela kumwaga mipasho kila anapochemka..a laughing stock president,nitamiss mipasho akirudi msoga mwakani.
 
Tanzania kwanza ndio nini?wajumbe wote wana sapoti uwepo wa Tanzania kama ilivyoainishwa na tume.tatizo ni watu kutamani siasa wakati hawana talent ya siasa.hao ni "mburula kwanza" sio "Tanzania kwanza"
 
Munawavuruga Watanganyika.

Sasa hiyo yenu ni rasimu ya ngapi?

Kwani Kuna rasmu ngapi?

1. Ya JK
2. Ya Warioba
3. Ya Ukawa
4. Tanzania Kwanza
5. ........

ongezeeni hapo.

By The way Hilo tamko mumeandikiwa na CCM na hapo kunawatu wamekuwa Millionairs.
 
lililululululuuuuuuuuuluuuu wapigaji vigelegele mjengoni!!!!!!!! Hapo ndipo huwa mnaniacha hoi, mnapiga vigelegele utadhani mko kwenye harusi au kitchen party!!! Kuweni serious bwana nyie wajumbe wa bunge katiba. Au ndo mmeishaanza kupewa vibahasha mahotelini eh! ili muanze kutoa matamko ya kujiweka sawa kukubali yale ya wachache.

Kingunge ameishawapa muongozo, tunataka katiba itayotuletea maendeleo kama katiba za wenzetu walioendelea na siyo kwenda kutafuta posho na ipad huko.
 
Wameandikiwa na GM sasa anakaimi nafasi ya ZOKA yupo dodoma kwa kazi hii.... IU inamulika kila kona soma ma.wi.o utajua kitu alh.
 
'A problem can not easily be solved by the same level of knowledge that created it' .
Hivyo wenye akili hatuwezi kuitegemea CCM ile ile kutatua changamoto ilizo tuletea ndani ya miaka 50.. Hii ni pamoja na kero ya mfumo wa Muungano wenye kumdhalilisha Mtanganyika!
 
Ndiyo maana waliongezewa posho ili wafanye wanayofanya. Wanafiki watupu! Watu mia nne hawawezi kutusemea watu milioni 45.
 
Pesa zinazotumika kupotosha ukweli wakat wananchi wanajua, zingepelekwa mahosptalini ningeshukuru kweli

Juzi nimeenda AMANA HOSPT nilitamani kulia yani wamama wamelala chini kabisa na mimba zao, wengine na watoto niliumia sanaaaa nikajiuliza hapa ni mjini tena city center kabisa je huko nachingwea vijiji vip

Inauma sana, mzee maliza vizuri uende msonga ataingia chizi zaidi yako utapata tabu sanaaaa.
 
Kiongozi wa hilo kundi ni said nkumba!kweli ccm wana akili za kuku!
 
Wamejuwa kwamba JK amechemka Bungeni mbele ya kada mnnasi sasa wanatoa matamko tu, ata bado Maalim Seif Jumatano anapanda majukwaani kufuta uchafu wa JK
 
Bora hawa hawajakubali kuwa wanafiki. Mbowe mwanzo mwisho alikuwa anashangilia Hotuba ya Mh. Rais baadae anawakusanya Makanjanja wenzie kina Lipumba anajifanya kuiponda eti hakuna Kitu,

huyu Profesa Mkweche Lipumba anadai Rais wa Wa Tanzania mambo yake ya kisanii wakati huyo ' msanii' ndie kamuwezesha walau kukalia Kiti cha Bunge
Mwengine nae Mtikila kila siku anapiga biti eti atasusia Bunge lakini kwenye Foleni ya Posho kama ananunua Luku kwa kihelehele cha Kusaini.

Hongereni sana kundi la Tanzania kwanza, Fanyieni kazi ushauri wa Gwiji na Mpambanaji wa Kisiasa mwenye Mafanikio zaidi ya kisiasa hapa nchini Mh. Mpendwa Ndugu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete.
 
Filth! Mlishindwa kumshauri kuwa asionyeshe kuegemea upande wowote unakuja na blaabla zako hapa!
 
Pesa zinazotumika kupotosha ukweli wakat wananchi wanajua, zingepelekwa mahosptalini ningeshukuru kweli

Juzi nimeenda AMANA HOSPT nilitamani kulia yani wamama wamelala chini kabisa na mimba zao, wengine na watoto niliumia sanaaaa nikajiuliza hapa ni mjini tena city center kabisa je huko nachingwea vijiji vip

Inauma sana, mzee maliza vizuri uende msonga ataingia chizi zaidi yako utapata tabu sanaaaa.

Dua la Kuku halimpati Mwewe, Chuki zenu zimekuwa Ndio chachu ya Mafanikio yake ya kisiasa.
 
Mlipe fadhila ya kuteuliwa kuwa wajumbe wa bunge mpunguze shida zenu,msahau Watanzania.Mnaweza kuisaliti Rasimu,mna muunga Rais narasimu ya chama!shame on you.Damu na mateso ya Watanzania ipo juu yenu.
 
Hili ndio kundi la waliokuwa wanataka nyongeza ya posho. Hawana jipya hawa zaidi ya hofu ya kukosa posho bunge likivunjika.....Kama wanajiamini wako wengi hebu wakubali kura ya siri tuone kitakachotokea..
 
lililululululuuuuuuuuuluuuu wapigaji vigelegele mjengoni!!!!!!!! Hapo ndipo huwa mnaniacha hoi, mnapiga vigelegele utadhani mko kwenye harusi au kitchen party!!! Kuweni serious bwana nyie wajumbe wa bunge katiba. Au ndo mmeishaanza kupewa vibahasha mahotelini eh! ili muanze kutoa matamko ya kujiweka sawa kukubali yale ya wachache.

Kingunge ameishawapa muongozo, tunataka katiba itayotuletea maendeleo kama katiba za wenzetu walioendelea na siyo kwenda kutafuta posho na ipad huko.

Hao ni wale wa 'Vitanda maalumu'
 
Back
Top Bottom