Kumekucha CHADEMA Ilemela kesho

Kumekucha CHADEMA Ilemela kesho

daud magigo

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2014
Posts
979
Reaction score
424
Kesho Ijumaa CHADEMA wilaya ya Ilemela itarusha helkopa maeneo yote ya wilaya ya Ilemela.Makamanda Wanzagi,Damas na viongozi mbali mbali watanadi sera muhimu za CHADEMA.Pia watakagua maendeleo na kazi za maendeleo zilivyotekelezwa na Wananchi wakishirikiana na Wenyeviti wa serikali za mitaa.Igombe,Nyamilolelwa,Ilemela,Nyamhongolo,Buswelu,Nyamanoro,Pasiansi,Kilimahewa,Kirumba,Kitangiri,Igoma kaeni mkao wa kuwapokea Makamanda.PEOPLES POOOOOOOOOOWER
 
mwambieni kiwia akija kiseke aje kavaa helmet, kuna kokoto za kutosha
 
Kesho Ijumaa CHADEMA wilaya ya Ilemela itarusha helkopa maeneo yote ya wilaya ya Ilemela.Makamanda Wanzagi,Damas na viongozi mbali mbali watanadi sera muhimu za CHADEMA.Pia watakagua maendeleo na kazi za maendeleo zilivyotekelezwa na Wananchi wakishirikiana na Wenyeviti wa serikali za mitaa.Igombe,Nyamilolelwa,Ilemela,Nyamhongolo,Buswelu,Nyamanoro,Pasiansi,Kilimahewa,Kirumba,Kitangiri,Igoma kaeni mkao wa kuwapokea Makamanda.PEOPLES POOOOOOOOOOWER
Saccos ya wachaga hiyo..wewe ni sawa na kenge kwny msafara wa mamba
 
Kweli lazima watumie helkopta maana buswelu hakuendeki marabara imejaa maandaki
Nilienda kukagua mradi wa NHC hapatamaniki!!
 
Chadema kuchukua jimbo la ILEMELA asubuhi na mapemaa.
 
Yaan ndani ya Ilemela mbunge azunguke na helkopta?anakagua maendeleo au analeta mikogo?matumizi mabaya ya pesa haya.

Kama pesa ipo mingi basi ni heri aende awagawie wapiga kura wake badala ya kuzichoma angani.
 
Cjui unamaanisha nn huoni viongozi waliotajwa ila chopå ????

Sasa mtu anaanza na helikopta maeneo.... Si angesema tu viongozi wafuatao watazunguka/watatembelea hayo maeneo

Hivi habari huwa inafocus kwenye nini??
 
Tuombeeni katika safari takatifu ya ukombozi wa fikra za watanzania waliodanganywa na kuteswa na lile joka la kijani, joka la mdimu kwa zaidi ya miaka 50.Kazi ya Ibilisi ni kupinga safari ya kumkomboa mtumwa.
 
Kesho Ijumaa CHADEMA wilaya ya Ilemela itarusha helkopa maeneo yote ya wilaya ya Ilemela.Makamanda Wanzagi,Damas na viongozi mbali mbali watanadi sera muhimu za CHADEMA.Pia watakagua maendeleo na kazi za maendeleo zilivyotekelezwa na Wananchi wakishirikiana na Wenyeviti wa serikali za mitaa.Igombe,Nyamilolelwa,Ilemela,Nyamhongolo,Buswelu,Nyamanoro,Pasiansi,Kilimahewa,Kirumba,Kitangiri,Igoma kaeni mkao wa kuwapokea Makamanda.PEOPLES POOOOOOOOOOWER

Sisi wakazi wa buswelu tunawashukuru cdm kwa kusimamia ujenzi wa barabara ya busweru mecco
 
Back
Top Bottom