Buswelu asije na helicopter aje kwa barabara aone mahandaki kwenye barabara ya National to Ofisi ya wilayaKesho Ijumaa CHADEMA wilaya ya Ilemela itarusha helkopa maeneo yote ya wilaya ya Ilemela.Makamanda Wanzagi,Damas na viongozi mbali mbali watanadi sera muhimu za CHADEMA.Pia watakagua maendeleo na kazi za maendeleo zilivyotekelezwa na Wananchi wakishirikiana na Wenyeviti wa serikali za mitaa.Igombe,Nyamilolelwa,Ilemela,Nyamhongolo,Buswelu,Nyamanoro,Pasiansi,Kilimahewa,Kirumba,Kitangiri,Igoma kaeni mkao wa kuwapokea Makamanda.PEOPLES POOOOOOOOOOWER