Kumekucha CCM vs UKAWA

ukisikia mbwembwe ndo hizi,wanafikiri bara ni sawa na zanzibar??kama wao wanajitenga wajitenge tu,waanze na kuwatenga na mama zao na baba zao maana baadhi yao ni wanaccm,hawatoamini na macho yao hayo wanayoyaongea yataishia hapohapo........
Endelea kujidanganya utajua muda ukifika watu sasa wamechoka
 
Mtavuna mlichopanda.
 
hahaha sio mbuyu wenu huu mnaoutaka,kama mlitaka mbuyu mngeanza toka enzi zile za JK,especially kule arusha ambapo kila siku mlikuwa mkiandamana
Sasa tulia basi mbona unatokwa na povu wakati hilo tamko ni la BAVICHA, ongelea matamko ya UVCCM
 
Sasa tulia basi mbona unatokwa na povu wakati hilo tamko ni la bavicha, ongelea matamko ya uvccm
as long as taarifa imeletwa jf mtu yeyote anaruhusiwa kucomment,ukiweza nipige ban na kama mlitaka moungelee matamko ya bavicha peke yenu wana chadema mngejifungia ufipani hukohuko mkajadili kuliko kuwaita na waandishi wa habari
 
Endeleeni kujidanganya!
 
Mkuu unaonaje wanachofanya polisi dhidi ya mikutano ya vyama mbadala ni sahihi?
 
Vp kuhusu zuio la mikutano ya ukawa na kuruhusu ya ccm unalionaje hili,usijibu kwa ushabiki jibu km mtu mwe hofu ya mungu
 
...Zakuambiwa Changanya n.a. zako...
 
Hiyo misuguano yenu isije kutusumbua tusiokuwa na kadi,maana mmeshajiona sasa ndio wenye nchi wakati watanzania zaidi ya million 30 hawazijui hata kadi za vyama.

Ni kweli usemayo ila maisha yako kwa sehemu kubwa hapa nchini utaongozwa na wanasiasa walioko kwenye vyama. Sasa katika mazingira ambayo nyie msio na kadi ya vyama hamna uwezo wa kuongoza inawasaidia nini? Kwa maneno mengine mlio wengi mmepigwa bao na wachache, na kwa sababu hiyo waache wachache wafanye watakavyo kwani mlio wengi hamjitambui. Ukitaka kuwakilisha mawazo yako usilete dharau, vinginevyo utajichoresha tu.
 
MKUU usisahau kutupa mrejesho baada ya WEEK moja mtuambie mmefanikiwa kwa kiasi gani???....NA FAIDA MTAKAZO PATA KWENYE HILI......
wakirudi baada ya hiyo wiki moja na kukueleza hayo uliyoyasema nahamia ukawa siku hiyohiyo
 
ukisikia mbwembwe ndo hizi,wanafikiri bara ni sawa na zanzibar??kama wao wanajitenga wajitenge tu,waanze na kuwatenga na mama zao na baba zao maana baadhi yao ni wanaccm,hawatoamini na macho yao hayo wanayoyaongea yataishia hapohapo........
Weka akiba ya maneno, mbuyu ulianza kama mchicha, mark my word
 
mambo haya huanza kma utani tu ni bora tujitasimini tuanze kuona jonsi ya kuzuia na sikubeza hivi hivi hawa jamaa kma leo wamepata ujasili wa kusema haya hazarani kunasiku watafanya vitendo hata isipokuwa leo!! enzi za awamu zilizopita hatukuyasikia haya, amani inamhusu kila mtanzania na ukiona mmoja amesaliti umoja ujue ni dalili mbaya hii.

my take.
hebu tuache kubeza tu, tuangalie mambo haya kabla hayajakomaa miongoni mwetu. tukumbuke pia hawa jamaa wa UKAWA ni watanzania kma sisi tu na niwananchi tu kma yeyote yule hivyo si busara kuwabeza kwa kusema eti wananchi hawatawaelewa ikiwa hao wao pia nimoja ya hao watanzania tunao watazamia!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…