HorsePower
JF-Expert Member
- Aug 22, 2008
- 3,612
- 2,569
kuna bwana mdogo mmoja wa miziki hii ya kizazi kipya,nimemsikia anasema eti "kwa wajanja kumegewa ni siri ya ndani" kweli???!is he serious kweli?anaongelewa kumegewa my wife wangu,mama ya watoto wangu au kidemu tu?
ebu hawa watoto wawe serious kidogo.wacha kabisa habari ya mama watoto kumegwa halafu kufa kisabuni eti "ujanja"!!!
nitam ufoo saro mtu hadharani!!!!
Nafikiri ameshindwa kutofautisha kati ya mtu kumegewa na kutoa siri na mtu kumegewa na kuchukua hatua! Kutoa siri saa nyingine si jambo sahihi, maana kwa namna yeyote ile, kitendo cha kumegewa ni fedheha ndani ya ndoa maana huwa connected na mahusiano yenu ya siri ya ndani! Unatoa siri, na wewe unajitangaza dunia nzima kwamba umemegewa bila kujijua, ile si sifa, ni upuuzi!
Kwa upande wangu mimi, njia sahihi ni kuchukua hatua kama umemegewa na siyo kutoa siri. Ukichukua hatua yeye mwenyewe atakwenda kueleza mbele ya safari nini kilimkuta mpaka ukaamua kumchukulia hatua kama ana nguvu ya kufanya hivyo.