Hakika nilijaribi kwa kiasi chake, lakini kwa kuwa sikitaka nimwoneshe kuwa "NADAI CHANGU", alipoonesha ushirikiano hafifu ilinilazimu kumpa muda.. Sasa tunakwenda mwaka na sioni hata dalili za kukumbukwa, na walau mtu huyu ni mwajiriwa!!!Aisee ule muda umefiwa na wewe ingekuwa muda sahihi kumkumbusha fadhila zako na wewe maana ni wakati mgumu sana! Pole sana inahitaji hekima katika hili...
Aisee kama ana source ya income mwambie tu hali halisi coz ulimpa hela ya pole na hiyo nyingne aliomba Umkopeee so usimuones haya mwambie uone atakujibu nini!Hakika nilijaribi kwa kiasi chake, lakini kwa kuwa sikitaka nimwoneshe kuwa "NADAI CHANGU", alipoonesha ushirikiano hafifu ilinilazimu kumpa muda.. Sasa tunakwenda mwaka na sioni hata dalili za kukumbukwa, na walau mtu huyu ni mwajiriwa!!!
Sawasawa ndugu yangu.. Nitatafuta muda nimkalishe. Mara ya mwisho nilipomkumbusha alijibu "BADO SIJAKAA SAWA BAADA YA MSIBA", lakini hapo ilikuwa Miezi SABA toka apate msiba, na Mimi ndio nilikuwa na msiba mbichi kabisaAisee kama ana source ya income mwambie tu hali halisi coz ulimpa hela ya pole na hiyo nyingne aliomba Umkopeee so usimuones haya mwambie uone atakujibu nini!
HALIPI HUYO KAMA UNAWEZA MSAMEHE MKUUHakika nilijaribi kwa kiasi chake, lakini kwa kuwa sikitaka nimwoneshe kuwa "NADAI CHANGU", alipoonesha ushirikiano hafifu ilinilazimu kumpa muda.. Sasa tunakwenda mwaka na sioni hata dalili za kukumbukwa, na walau mtu huyu ni mwajiriwa!!!
japo huwa inauma kusamehe lakini ni njia sahihi nakumbuka kuna mama mchungaji kutokana na imani kwake kuna mradi tulifanya pamoja alikula peke yake nikamdai sana lakini alijitetea kafanya yote baada ya kufiwa nikaachana nae na kusamehe million mojaDoh!!! Hili pia nalibeba mkuu maana mwisho wa siku akiweka ngumu kuridisha Wala sitakuwa na msaada popote zaidi ya KUSAMEHE TU!!!!