ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,065
- 61,398
Ndo mana watu wanadai kwa sababu ni ndogo,alfu 20k sasa mtu anashindwaje kulip mkuu mpaka usamehe?Sawa
Ndo mana watu wanadai kwa sababu ni ndogo,alfu 20k sasa mtu anashindwaje kulip mkuu mpaka usamehe?Sawa
Uislamu ni dini ambayo imegusa mfumo kamili wa maisha ya binadamu,uliona ili mapema, MTU akifa kabla mirathi haijagawanywa lazima madeni yake yajulikane na yalipwe yote.Nashangazwa jinsi watu walivyo makauzu yaani kweli kabisa wanatangazwa watu wanaomdai marehemu pesa wanajitokeza mpaka watu wanaomdai elfu 20.jaribuni kuwaonea huruma familia aliyoiacha Kama hawana msaada mwingine unasamehe tu hilo deni.mimi naweza kukudai kiwango kinachoanzia laki tano na hapo Ni kama na uhakika umeacha kiasi kikubwa, tofauti na hapo siridhiki na hii taratibu iliyopo Africa pekee ya kudaiana hela ndogo ndogo mpaka laki moja TU mtu unakomaa ulipwe sio POA.
Din ya Haki....Uislamu ni dini ambayo imegusa mfumo kamili wa maisha ya binadamu,uliona ili mapema, MTU akifa kabla mirathi haijagawanywa lazima madeni yake yajulikane na yalipwe yote.
Uislamu unatambua wapo watakao samehe na ambao hawatasamehe so haki lazima itendeke kwa watu wote .
Pia husimlaumu anayedai ni haki yake .
Sent using Jamii Forums mobile app
Wangap kukoment?Mimi ni mtoto wa tatu kuzaliwa kati ya watoto wanne
Acha ujinga kama hauna cha kufanya nenda kakojoe ulale
Uislamu ni dini ambayo imegusa mfumo kamili wa maisha ya binadamu,uliona ili mapema, MTU akifa kabla mirathi haijagawanywa lazima madeni yake yajulikane na yalipwe yote.
Uislamu unatambua wapo watakao samehe na ambao hawatasamehe so haki lazima itendeke kwa watu wote .
Pia husimlaumu anayedai ni haki yake .
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unaogopa kupigwa ban nini saiv haukoment tena zile 1,2Acha ujinga kama hauna cha kufanya nenda kakojoe ulale