Smile
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 15,347
- 11,626
ahahaaa tunakabidhi atm na pwd kabisaduh kumbs mtalimbo unawafanya bidada hadi watoe hela hivyo...ngona nijikamatia dada huruma
ahahaaa tunakabidhi atm na pwd kabisaduh kumbs mtalimbo unawafanya bidada hadi watoe hela hivyo...ngona nijikamatia dada huruma
aisee kuna kitu hakina malipo kweli dunia hii?tsh bana,kwani k yako ina malipo?
aisee kuna kitu hakina malipo kweli dunia hii?
Dah umenikumbusha mbaliiiii, hilo ni kosa ambalo sitakuja kulifanya tena kwenye maisha yangu 'KUMKOPESHA PESA BOYFRIEND'!!!! . Hata wewe nakushauri usije kulifanya kosa la aina hiyo tena, MWIKOOOO!!!!. Nikirudi kwenye mada yako una haki zote za kumdai X-wako hela ulizomkopesha, kwa sababu mlikubaliana kwamba takurudishia. Tatizo linalokuja ni kwamba hakuna ushahidi wowote/ mtu aliyeshuhudia wakati ukimpa hizo hela, hivyo inakuwa ngumu. Sikulaumu kwa nn hamkuandikishiana, nafahamu mwanamke anapokuwa kwenye mapenzi huwa tunawaamini sana wapenzi wetu kwa kiwango ambacho utafikiri uko kwenye mahusiano na malaika kumbe ni MAGUMEGUME yetu haya yasiyojua kupendwa. Yaani hao watu hawana maana yoyote, unatakiwa uishi nao kama mgeni aliyekuja mara moja kesho anarudi kwake.
Ili uendelee kuwa na amani na kwa kuwa ameanza kuwatumia wanawake wakutukane anaonekana sio mstaarabu. Achana naye hautapungukiwa na kitu. Halafu Mwanaume anayejitambua huwa hakopi kwa girlfriend wake hata siku moja hapo umeingia kwenye choo cha shimo kilichajaa. Yaani siku hizi hakuna wanaume jamani, mpaka mnafikia hatua ya kutapeli vijisenti vya wanawake, Tumekwisha! teh teh teh.
kama sio bure mimi mfano nikikupa wewe utanipa nini?malipo kwa pesa?
najua k sio bure but haiuzwi pia
au wewe yako ina price tag?
kama sio bure mimi mfano nikikupa wewe utanipa nini?
Hii mijanamke ya wapi?unampa mwanaume atm card yako ili iweje?mie hajui hata nina kiasi gani bank namtoa out twala twanywa thats all sijawahi mpa hata buku5 my money is mine haimuhusu
ya hapa hapa town nikiwe!! kupenda tu na kuamini kuwa unamsaidia mtu wako unayempenda kwa dhati..
you know sometimes kwenye mahusiano unamwamini mtu sana sasa kwa trust hiyo uliyonayo kwske inakufanya uone material things are nothing...
lol..thooose daaaaysss!!! salaleee..
hahaaaa. mzabzab inategemea na level ya upendo wa bidada kwako..hatutoi tuuu...
ahahaaa tunakabidhi atm na pwd kabisa