miss strong
JF-Expert Member
- Jul 4, 2012
- 7,011
- 3,708
Mpotezee c muungwana huyo....!Ila umwambie kuwa umesamehe.
madameA i can still feel the pain n hatred in ur posts...sijui ninini kilikutokea. Pole sana...Dah umenikumbusha mbaliiiii, hilo ni kosa ambalo sitakuja kulifanya tena kwenye maisha yangu 'KUMKOPESHA PESA BOYFRIEND'!!!! . Hata wewe nakushauri usije kulifanya kosa la aina hiyo tena, MWIKOOOO!!!!. Nikirudi kwenye mada yako una haki zote za kumdai X-wako hela ulizomkopesha, kwa sababu mlikubaliana kwamba takurudishia. Tatizo linalokuja ni kwamba hakuna ushahidi wowote/ mtu aliyeshuhudia wakati ukimpa hizo hela, hivyo inakuwa ngumu. Sikulaumu kwa nn hamkuandikishiana, nafahamu mwanamke anapokuwa kwenye mapenzi huwa tunawaamini sana wapenzi wetu kwa kiwango ambacho utafikiri uko kwenye mahusiano na malaika kumbe ni MAGUMEGUME yetu haya yasiyojua kupendwa. Yaani hao watu hawana maana yoyote, unatakiwa uishi nao kama mgeni aliyekuja mara moja kesho anarudi kwake.
Ili uendelee kuwa na amani na kwa kuwa ameanza kuwatumia wanawake wakutukane anaonekana sio mstaarabu. Achana naye hautapungukiwa na kitu. Halafu Mwanaume anayejitambua huwa hakopi kwa girlfriend wake hata siku moja hapo umeingia kwenye choo cha shimo kilichajaa. Yaani siku hizi hakuna wanaume jamani, mpaka mnafikia hatua ya kutapeli vijisenti vya wanawake, Tumekwisha! teh teh teh.
The Boss yaani kama ulikuwa umeingia mawazoni mwangu.........Haha nway mdada pole ila ni fundisho kwako na kwetu pia.
Hivi naomba niulize mbona wenzetu wanaume huwa wanajua toka mwanzo kama huyu demu ni wa kuzugia tu na kutuliza kiu na sio wa future? Inakuwaje sie wanawake tushindwe kulitambua toka mwanzo? Ina maana sie tunapoingia kwenye mahusiano tunaingia kichwa kichwa tu.
Little Angel..... mamii nimeuliza tu sio kwamba sijapitia mie ndo nilikuwa mjiiiiinga wa mwisho yaani hadi ATM cards nilikabidhisha kwa hiari. Ndo bado najiuliza why sikuwa nimelitambua tokea mwanzo?MwanajamiiOne mioyo ya watu ni kiza kinene sana! huwezi jua kama hujapitia na kuexperience hii kitu.. uuuh imenikumbusha those days nilipokuwa foolish natumia hela zangu eti tufungue biz kumbe jamaa kicheche balaa..lol tena hela zenyewe zilikuwa za shikamoo..
mpotezee tu huyo haina sababu ya kuumiza roho yako.utapata tu zingine...
Little Angel..... mamii nimeuliza tu sio kwamba sijapitia mie ndo nilikuwa mjiiiiinga wa mwisho yaani hadi ATM cards nilikabidhisha kwa hiari. Ndo bado najiuliza why sikuwa nimelitambua tokea mwanzo?
Ni kweli usemayo alisamehe tu kwani hata akiamua kumpeleka kwenye vyombo vya sheria bado awezaambiwa kuwa mlipeana katika mazingira ya mapenzi nendeni mkalipane katika mazingira hayo hayo............... si bora hata yeye aliambulia hiyo 75%!!
Little Angel..... mamii nimeuliza tu sio kwamba sijapitia mie ndo nilikuwa mjiiiiinga wa mwisho yaani hadi ATM cards nilikabidhisha kwa hiari. Ndo bado najiuliza why sikuwa nimelitambua tokea mwanzo?
Ni kweli usemayo alisamehe tu kwani hata akiamua kumpeleka kwenye vyombo vya sheria bado awezaambiwa kuwa mlipeana katika mazingira ya mapenzi nendeni mkalipane katika mazingira hayo hayo............... si bora hata yeye aliambulia hiyo 75%!!
duuuh sijui itakuwaje na kodi za nyumba ndo zinaishiaHii thread itasababisha watu wasikopeshwe wiki hii lol
duuuh sijui itakuwaje na kodi za nyumba ndo zinaishia
duh kumbs mtalimbo unawafanya bidada hadi watoe hela hivyo...ngona nijikamatia dada huruma
unikope k au tsh?Nilikuwa nna mpango nikutongoze nikukope
sasa sijui itakuwaje? lol
unikope k au tsh?