Kumchukua Barmaid na kuingia naye Lodge, Guest House au Geto ni sawa na kumchezea simba

Nadhani ni nafuu bar maid uliyemzoea kuliko mwanamke unayedhani ni mke wa mtu au ni mstaarabu tu flan ukajiopolea na kuzama naye gheto. Huyu mara nyingi hana uhakika na weye kesho hivyo kukuosha kwake ni kawa tu. Mwingine hataki urudi kwake
 
Kuna jamaa yangu anasema, akitaka kuoa ataoa Bar maid, kwa sababu washachoka na maisha wamepitia mambo mengi na akiwekwa ndani anatulia tuliii
Ubamedi wakati mwingine hauna uhusiano na kipato.wengine wana enjoy kulala na wanaume wapya kila siku.
 
Kiasi kikubwa ni kweli lakini siku hizi asilimia kubwa ya wanawake wengi ni wauzaji tu, ila ni kwa style tofauti tofauti tu!!! Unaweza ukakuta mwanamke yupo home tu lakini anauza kwa kupigiwa simu tu!! Na ndio wengi siku hizi mjini!! Na huyo barmaid anaweza asiwe hatari sana kwakuwa utachukua tahadhari mapema, ila hao unao wakuta muda wote wako kwenye baibui ukajiachia tu, ukiamini ni salama kumbe ni moto!!!
Kweli kabisa,nime experience hicho kitu aisee.
 
Ndugu zangu napenda kuwaasa, ma-barmaid wengi ni watu waliofika bar kwa bahati mbaya.

Usidanganyike na makalio, wigi, lip stick, wanja au makucha yale ya bandia.

Wengi ni watu waliokosa njia wakajikuta wako bar. Hivyo ni watu wanaoisaka fedha kwa hila zote. Ni nyoka wale, usiwakumbatie, kimbia.

Utanishukuru mbinguni.

Note: Sijawahi kumtongoza wala kulala na barmaid. Nawaasa tu kwa experience niliyoipata kidogo kuhusu hawa wauza pombe wanaolipwa 50 lakini wanajenga kijijini kwao na kutuma pesa ya kula kwa mama na watoto wake.

Kweli unamwita binadamu mbwa , you’re a disgusting individual
 
Back
Top Bottom