Ni Jpili nyingine wapendwa tunakumbushana maneno ya Mungu maneno ya Mungu yanatwambia kumcha Mungu ni chanzo cha maarifa ebu twendeni makanisani tukamwabudu Mungu alie hai Mungu alieziumba mbingu na nchi tujifunze kusamehe na kutubu madhambi yetu, maandiko yanatwambia yeyote asiesamehe hatasamehewa na baba yangu, nikutakien jpili njema.
nimechelewa kuuona uzi... ningeenda leo!!!
Kuna umuhim wa kuwekewa jukwaa lenu wakristo ili mzidi kuhamasishana kwenda kanisani.
Ubarkiwe ila tungejumuika Jana jmoc yaan sabato ingenoga.
Amen Ndugu. Ila na Maisha Yetu Yawe ni Maisha Yenye Yenye Kumzalia Mungu Matunda.
Maana Kuna Wengine Ibada Hawakosi Ila Matendo Yao Hayaendani Na Utakatifu.
Ni lazima Tujikane Nafsi Zetu Na Matendo Yetu, Ili tumpate Kristo Kama Mtume Paulo Alivyo Sema - Naya Esabu Mambo Yote Kama Mavi. ili Nimpate Kristo.
nimechelewa kuuona uzi... ningeenda leo!!!