Kumbukumbu

Amueni.

Revolution is a vision.

Watanzania wengi ni waoga waoga.

Na bila kuitoa CCM tutaendelea kuwa masikini milele.

Tuamue mara 2? Nyinyi si ndio mnatumika na viongozi wa CCM kutudhibiti ili mpewe vyeo vya kiraia, ama kupewa mikopo ambayo hata msiporejesha hamdaiwi?
 
Nitaleta full story na matukio yote. Leo ngoja nifurahie uhuru wa CCM. Yes ni uhuru wa CCM, kama sio mwama CCM ujue hauko huru.
Kabla ya yote, nikupe pole.

Wakati ukifanya hivyo, hakikisha uko 'sober', na pombe zote ulizonyweshwa ukiwa huko kambini zimekwisha kichwani.

Andiko lote ni kama la mlevi fulani!
 
Fanya utafiti, pia angalia hapo hakuna uhusiano wa kisiasa. Ila yule mwovu alikuwa na hofu Kwa watu waliokuwa ndani ya system.
Kumbe
Lakini mwandiko wako inafungua codes nyingi sana hususani kuhusu system inavyofanya ibada ya kula nyama za watu ndani ya CCM.

Inawezekana ukawa unaelezea furaha ya uhuru wako ndani ya CCM. Mnataka CCM iwe ndo Tanzania badala ya kuheshimu nchi mnaheshimu chama.

Mtozeni size ya mzandiki
 
Tuamue mara 2? Nyinyi si ndio mnatumika na viongozi wa CCM kutudhibiti ili mpewe vyeo vya kiraia, ama kupewa mikopo ambayo hata msiporejesha hamdaiwi?
Mkuu
Huyo jamaa ni tapeli tu.
Lakinu ndoa ya system na CCM ipo ndo maana ukimsikiliza yule mzee mpumbavu aliyeulizwa na mwandishi kuhusu mgao wa umeme na changamoto zingine aliishia kung'aka na angemuezeka kelbu. Eti watanzania tuwe na shukrani. Kalewa damu za Watanzania wanaoteseka na kufa bila huduma bora za afya na wale wanaouawa kwa kuikosoa CCM
 
Haiyumkini ilikuwa unalala Shaban robart west ndio mliokuwa watata Sana!
 
Usituhamishe Mzee Makamba kajinyea hadharani,kazoe huo uharo
 
Yani marehem hakauki midomoni mwa watu khaaaa.
 
Hawa ndio wale ambao kauli ya Makamba imewakata maini
Kuwa Wazuri hawafi ndio maana Jakaya yupo.[emoji23][emoji23]

Tarehe 17/3 tulishangilia wengi sana
Mnajitahidi kutunga tunyuzi twa kijinga kumnusuru babu yenu huyo mchawi mkubwa
 
Naona mnajitahid kutimiza malengo ya wanasiasi na sio ya wananchi muda utaongea acheni porojo
 
Haiyumkini ilikuwa unalala Shaban robart west ndio mliokuwa watata Sana!
Yes mkuu umejuaje?,sisi ndio tupo getini tunalinda mlango mkuu!!,always tulikua push back inaanzia kule na Makongoro west wanakoleza moto, aliyekuwa anacheza mafupa kwenye lile igizo pendwa pale, aling'oa visiki ili apate PM&Ed diploma yake, halafu humu kuna watu maselule tu ,kutwa kukimbilia humu kabla ya ku push back, yeeeee makanyagio
 
Kabla ya yote, nikupe pole.

Wakati ukifanya hivyo, hakikisha uko 'sober', na pombe zote ulizonyweshwa ukiwa huko kambini zimekwisha kichwani.

Andiko lote ni kama la mlevi fulani!
Muujiza wa kwanza kufanywa na Yesu huko Kana ya Galilaya ilikuwa ni kubadili maji na kuwa divai
 
Mitazamo
 
Fanya utafiti, pia angalia hapo hakuna uhusiano wa kisiasa. Ila yule mwovu alikuwa na hofu Kwa watu waliokuwa ndani ya system.
Kiroboto kama wewe ungeuawa tu
 
Nasikitika kuwa Kuna watu hawaamini na wengine hawaelewi.

Jamani nilichokisema ni ukweli mtupi na wengine walikiwa wanapotezwa sababu ya woga.

Kilochokuwa kinafanyika uraiani hata kwenye makambi ilikuwa hivyo hivyo Tena zaidi maana Kule kulikuwa na machawa wengi mno Tena ant book (failure).

Subirini nipate muda nitaweka full story.
 
Kiroboto kama wewe ungeuawa tu
Uzuri wa mitandao ni kuwa hujui nguvu ya mwenzio Bali upo kwenye kiswaswadu chako unatukana.

Niogope sana sio mwenzio "*** you"
 
Mjomba sijakuelewa!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…