Kumbukumbu

nditolo

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2011
Posts
3,802
Reaction score
4,459
Ni miaka miwili Sasa. Ilikuwa tarehe 9/12/2020, nikiwa nashikiliwa kwenye Kambi mojawapo ya jeshi Kwa tuhuma za kujihusisha na siasa tuhuma ambayo ilikuja kubadilishwa na Sasa nikawa natuhumiwa kumtukana rais wa kipindi hicho.

Kipindi chote Cha kushikiliwa kwangu, ilikuwa kama niko field nikijifunza jinsi watanzania wasiokuwa kwenye system wanavyoteswa na utawala ule.

Nimekumbuka mengi sana siku kama ya leo, ilitoka amri toka juu kuwa nihamishwe kutoka Kambi ya awali nipelekwe Kambi nyingine ambako wangeweza kunichunguza zaidi.

Nikawagalagaza vibaya isitoshe nikiwa huko kuchunguzwa nikawachunguza zaidi wao ni hivyo kuwashinda vibaya.

Mimi nikawa na taarifa zao kuliko wao walivyokuwa na taarifa zangu.

Leo nimekumbuka mambo mengi.

Nikiwa course zote I was a best student na wengi wa waliopo kazini kwenye vitengo ni failure kwenye courses za kijeshi za uraiani.

So najivunia kuwa nikiwa bado nachunguzwa rais akafa nikapata taarifa mapema sana. Tangu tarehe 9/03 /2021 nikaanza kula bia Kwa fujo ndani ya Kambi huko mess sajent muhudumu Kuna siku alinihudumia bia mpaka ahasubuhi saa 12. Kutokea mess nikaingia master pared. Baada ya master p nikarejea mess kula vitu.

Week Moja baadae ndio wakapata taarifa.

Sasa captain mmoja rafiki yangu ni mchungaji alikuwa ananijua kuwa mimi nimesingiziwa sababu ya watu kutaka vyeo vilivyokuwa vinagawiwa kama njugu kipindi hicho na aliyekuwa Chief. Maana ilikuwa inatokea mtu ndani ya mwaka anaweza panda vyeo mara mbili au tatu hasa kama anajua ratiba za ziara za mkuu kwenye kamandi au vikosi.

Basi nikaanza kupanga namna ya kuondoka na faida ndani ya kazi hiyo. Ikawa.

Na hivi ndivyo mungu alivyonifakisha kwenye kadhia hiyo.

1. Nimejifunza madhaifu ya serikali iliyopita, nikamdharau kiongozi aliyepita.

2. Nikaamua kufanya kazi nyingine ambayo nimeisomea na kupata shahada ya pili (umahili au masters).

So nimekumbuka mengi sana.

Nitaleta full story na matukio yote. Leo ngoja nifurahie uhuru wa CCM. Yes ni uhuru wa CCM, kama sio mwama CCM ujue hauko huru.

Ahsante sana.
 
Ni miaka miwili Sasa. Ilikuwa tarehe 9/12/2020, nikiwa nashikiliwa kwenye Kambi mojawapo ya jeshi Kwa tuhuma za kujihusisha na siasa tuhuma ambayo ilikuja kubadilishwa na Sasa nikawa natuhumiwa kumtukana rais wa kipindi hicho...
Code ya kwanza. Nani aliye nyuma ya huu ujumbe.... ni mwanasiasa mwenye stress zake ambaye ubini wa jina lake ni full stress kwake.

Hapa karibuni kagombea Halmashauri kuu CCM na ofcourse kashinda lakini haimpi peace of mind kwa sababu ya usnitch wake.

Code ya pili.... eeeh well...

Ngooja kwanza
 
Hawa ndio wale ambao kauli ya Makamba imewakata maini
Kuwa Wazuri hawafi ndio maana Jakaya yupo.[emoji23][emoji23]

Tarehe 17/3 tulishangilia wengi sana
Hakika, na yule mwovu angeendelea kuishi wapambe wake wangeniua. Imagine ninachokieleza ni kwenye system. Je huko nje ilikuwaje kama sio kiama.
 
Code ya kwanza. Nani aliye nyuma ya huu ujumbe.... ni mwanasiasa mwenye stress zake ambaye ubini wa jina lake ni full stress kwake...
Fanya utafiti, pia angalia hapo hakuna uhusiano wa kisiasa. Ila yule mwovu alikuwa na hofu Kwa watu waliokuwa ndani ya system.
 
Ni miaka miwili Sasa. Ilikuwa tarehe 9/12/2020, nikiwa nashikiliwa kwenye Kambi mojawapo ya jeshi Kwa tuhuma za kujihusisha na siasa tuhuma ambayo ilikuja kubadilishwa na Sasa nikawa natuhumiwa kumtukana rais wa kipindi hicho...
Majivuno mengi ndio mana umeshindwa kueleka:

Kifupi tu inaonekana wewe ni mpenda sifa tu
 
Majivuno mengi ndio mana umeshindwa kueleka:

Kifupi tu inaonekana wewe ni mpenda sifa tu
Ni mawazo yako.

Lakini Kila mtu anae shinda vita lazima afurahie na wengi watamuona anajidai au kuringa.

Kumbuka mafanikio ni baraka.

Imagine Lissu baada ya kupona anajisiaje pia fikiria waliodhani wamemuua wakimuona Lissu anadunda na afya tele wanajisikiaje.

Je huwezi furahia mafanikio?

Mungu humbariki ampendae na humlaani mtu mbaya.

Heri wenye moyo safi.

Mie Nina furaha sana
 
Majivuno mengi ndio mana umeshindwa kueleka:

Kifupi tu inaonekana wewe ni mpenda sifa tu
Alafu fikiria MP waliokuwa wananilinda wananionaje sasa hivi.

Imagine wao Wana shida na mimi wakati huo mimi siwezi kuwa na shida kwao. Yaani siwezi kuwa na shida jeshini zaidi wao watakuja kunitafuta niwasaidie.
 
Ni miaka miwili Sasa. Ilikuwa tarehe 9/12/2020, nikiwa nashikiliwa kwenye Kambi mojawapo ya jeshi Kwa tuhuma za kujihusisha na siasa tuhuma ambayo ilikuja kubadilishwa na Sasa nikawa natuhumiwa kumtukana rais wa kipindi hicho...
I love push back,na maelezo yako hapo juu nimependa ulivyo fight mwenyewe sio watu kukupigania safi sana,kwa waliosoma Mkwawa CNE baada ya principal Mshana kuondolewa na kuletwa dictator uchwara (Mushi),wanachuo tulifanya push back ya nguvu(kama scurm ya All Blacks),by the time anasukumwa pale makanyagio tayari alikua ndani ya money bag's na akarudishwa kwao hivyo, hatukulalama and we fought our battle na kushinda ile war
 
Ni miaka miwili Sasa. Ilikuwa tarehe 9/12/2020, nikiwa nashikiliwa kwenye Kambi mojawapo ya jeshi Kwa tuhuma za kujihusisha na siasa tuhuma ambayo ilikuja kubadilishwa na Sasa nikawa natuhumiwa kumtukana rais wa kipindi hicho...

Mnatakiwa mtusaidie kufanya mapinduzi ili tuanze upya kiutawala. Ccm wako madarakani kwa wizi wa kura. Tutawapa support yoyote mtakayo ndani ya uwezo wetu.
 
Exactly [emoji817]. Nafurahia ushindi. Pia sijatoka mikono mitupu na Nina kazi nzuri pia.

Nina furaha sana
 
Mnatakiwa mtusaidie kufanya mapinduzi ili tuanze upya kiutawala. Ccm wako madarakani kwa wizi wa kura. Tutawapa support yoyote mtakayo ndani ya uwezo wetu.
Amueni.

Revolution is a vision.

Watanzania wengi ni waoga waoga.

Na bila kuitoa CCM tutaendelea kuwa masikini milele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…