Kazanazo
JF-Expert Member
- Aug 16, 2023
- 7,704
- 12,372
- Thread starter
- #21
5. Juzi katika harakati za kutafuta amafaranga nikakutana na kagenz ka mwaka 2007 nikachukua namba ya dada ake nikasepa.
Sasa bana ile kukacheki nikakacheki kwa sms kumbe ile simu ni ya mama ake na wakati namcheki ilikuwa na baba ake akapiga nikapokea kwa bashasha oyaaah! Hiyo mikwala sio ya nchi hii akasema mwanangu akiwa na mimba nakushitaki alooh ikabidi nikate na nikablock namba kabisa