KIBURUDISHO
JF-Expert Member
- Mar 28, 2011
- 1,002
- 277
Popote ulipo kama unaweza kumfahamu nduguyo mmojawapo pichani hapo njoo nikupatie nakala ya picha yako.Pichani ni wanafunzi wa shule ya msingi Lobo iliyokuwa ndani ya hifadhi ya taifa ya Serengeti miaka ya 1981/1982 (picha kwa hisani ya maktaba ya mzee mwl James Christopher aliyesimama akiwa na wanafunzi wake)