Kumbukumbu ya Kuzama Kivuko cha MV Nyerere

a4apple

JF-Expert Member
Jul 30, 2015
927
1,131
Leo katika historia tunatimiza mwaka mmoja tangu kuzama kivuko cha MV Nyerere kisiwa cha Ukala. Tunazidi kuwaombea Wapendwa wetu ndugu, jamaa na marafiki mliotutangulia Mbele za Haki. Mpumzike kwa Amani...


 
Mungu Ni Mwema Wakati Wote
Awape Pumziko La Milele Wapendwa Wote Hatimaye Tuje Tuonane Tena Kwenye Uzima Wa Milele
 
Back
Top Bottom