Kumbukumbu ya kifo cha Michael Jackson

Ni kweli mkuu hizi songi nimezijua sababu ya mshua aliporudi kutoka majuu miaka ya 90 akaja nazo nyingi. Ndio mana nazijua sana songi za wakali wa zamani

Cheza yake tu ni unique..surual zake modal flan ivi...yupo flexible ktk uchezaji..
akiweka na sauti yake full burudan
Ni vzur kama una kumbukumbu zake
 
Cheza yake tu ni unique..surual zake modal flan ivi...yupo flexible ktk uchezaji..
akiweka na sauti yake full burudan
Ni vzur kama una kumbukumbu zake
Hana mpinzani na haitotokea kama yeye kwa kweli ni mfalme wa Pop.

Ndio mana kuna waliojaribu kuwa kama yeye lakini wameshindwa kufikia hadhi yake katika uchezaji wake, kwa kweli alipewa kipaji maalum angalia USHER RAYMOND, CHRIS BROWN, MARIO, MARQUIS HUOSTON na wengineo
 
 
Last edited by a moderator:
 
Last edited by a moderator:
 
Last edited by a moderator:

Mwanamzik mweus wa kwanza kuchonga pua
Freemason mkubwa dunian
 
kumuita mtu freemason aliyekuwa ana kipaji cha ajbau cha muziki kilichomfanya aziteke chati za muziki duniani akiwa na miaka 11 ni ufinyu wa akili, by the way hata ukiambiwa uthibitishe ufreemason wake lazma ushindwe, the devil is a lie,,,wabongo tufanye kazi
 
jaribu kutafuta, michael hakuwahi kujichubua kama wazungu wanavyosema au watu wanavyodhani,, hivi mtu ajichubue apitilize kwan yy hapendi kuwa na muonekano mzuri, michael had vitiligo
 

Michael Jackson was all that and a bag of chips, lakini unapoandikia watu wazima wanaofuatilia mambo kuwa makini.

Kina Sammy Davis na Harry Belafonte (do you even know who these people are?) walishatinga White House tangu enzi za Kennedy wakati kabla Michael Jackson hajatoka Gary, Indiana bado.

Kina Louis Armstrong wamefanya vitu vikubwa kabla Michael Jackson hajazaliwa.
 
luis armstrong ni mwanamuziki?????
 



luis armstrong ni mwanamuziki???....unafahamu michael alienda ikulu kufanya nn na kwasababu gani???

kama hutaki kukubali mchango wa michael katika muziki kawaulize kwann guness book of records walimuweka mbele ya kina elvis presley, mbele ya the beatles kama mwanamuziki mwenye mafanikio zaidi duniani, bob marley alikuwa mwanamuziki mkali ila hakuwahi kuunite muziki wa watu weusi na watu weupe hadi umauti unamkuta mwanzoni mwa miaka ya 80,,, Michael peke yake alikuja kufanya mapinduzi hayo yote kupitia album ya thriller,, nadhani umeelewa mkuu kuhusu hilo, hakuna mwanamuziki aliyetamba na maarufu zaidi ya michael jackson toke kuumbwa kwa dunia hii,,,,,,waweza ukatafuta source zako
 

Mchango wa Michael Jackson.nishaukubali hapo juu, kama hujui kusoma tatizo ni lako, si langu.

Na ukiuliza "Louis Armstrong ni mwanamuziki?" unadhihirisha tatizo lako.
 
sijui kwa nn nikisikiliza nyimbo za MJ nalia!
sijui alikuwa anatunga huku anamenya vitunguu?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…