Kumbukumbu ya Brigedia Gen. Moses Nnauye!

NasDaz you have said well and very right. Nape should not be discredited politically and as a person for what is not out of his own making. This thread has comments which are not civil.
 
Sikujua, hakika sikujua.....KUMBE NINAWAPA TABU SANA MAFISADI...,!!!! Aam so happy
 
Sikujua, hakika sikujua.....KUMBE NINAWAPA TABU SANA MAFISADI...,!!!! Aam so happy

Vipi kaka magamba yanavuliwa lini? Mafisadi unawapa tabu ipi? Think rationally bro! Chama changu nilichokipenda CCM nimekuwa pango la wanyang'anyi.
 
:lol:
Sikujua, hakika sikujua.....KUMBE NINAWAPA TABU SANA MAFISADI...,!!!! Aam so happy

Mbona huna hata sura ya Mzee Nnauye. Hii ni kazi ya nje tu...................................
 
Binafsi nilishawahi kuomba humu humu kupatiwa ufafanuzi kuhusu uhusiano uliopo kati ya Nape na Mwandosya, na bahati nzuri Nape mwenyewe alijaribu kutoa maelezo ambayo hayakujitosheleza akalalamika kuwa anakashfiwa pasipo sababu lakini katika Tangazo hili mambo yanazidi kujidhihirisha pasipo shaka eti watu wanasema atakuwa amesahaulika bahati mbaya hivi kweli hili laweza kuingia akilini kumsahau kijana wa mzee tena kijana anayeonekana kuwa Maarufu (wa kijinga japo) katika Nchi hii leo asahaulike katika tukio kubwa na la msingi namna hii.

Ukweli ni kwamba familia husika inafahamu moja kwa moja kuwa Nape katokea wapi akiwamo mama mtajwa, na Makamba Sr analifahamu hili fika na hata tukijaribu kutazama picha ya Mzee Nnauye hakuna sura ya Nape kabisa hapo, hivyo mi nadhani si busara kuuliza uliza juu ya hili mtamfanya achanganyikiwe kabisa. Kwa tangazo hilo familia imeanza kuona haja kuujulisha umma kuwa Nape anaogelea juu ya ubini usio wake..... Na nadhani nao wamechoshwa kila kukicha jina la baba yao kutajwa tajwa na kudhalilishwa kwa mambo ya ajabu ajabu ayafanyayo huyu kijana na nadhani muda si mrefu watamkataza kutumia hilo jina.
 
Sikujua, hakika sikujua.....KUMBE NINAWAPA TABU SANA MAFISADI...,!!!! Aam so happy
Mkuu sidhani kama utapungukiwa kitu ukiufahamisha umma wa JF kwamba wewe ni mtoto wa Mzee Nnauye kwa mama mwingine, na hili sio la ajabu maana hata Rais JK amezaa na wanawake kibao, hii sio kashfa.
Kuhusu jina lako kutokuwepo kwenye hilo bango, mimi hainipi shida hayo ni mambo ya kifamilia zaidi, kwani asilimia kubwa wengine tumekulia kwenye familia za kiswahili + umaskini kwahiyo bifu ni kitu cha kawaida. ebu ondoa huu utata ufunge hii thread.
Kumbuka wewe ni kiongozi kwa hiyo Historia yako ni lazima iwe clear huna cha kuficha otherwise ujiondowe kwenye siasa kama unahitaji maisha yako yasiwe kweupe.
 
:lol:

Mbona huna hata sura ya Mzee Nnauye. Hii ni kazi ya nje tu...................................

Mbona hata freeman mboe ana sura ya nyerere,kitanda hakizai haramu kamanda,hata jarume jr ana sura ya mohamed babu lakini yeye ni karume tu mwanzo mwisho!
 
ok basi kiufupi mzee nnauye alikua muislam na alizikwa kwa taratibu za dini hiyo pale kisutu na makamba pia ni muislam ila mkewe ni mkristo!
 
ila NAPE huwa simsomi sawasawa kuhusu dini yake....wala sioni tabu kwa kuwa muhimu utendaji wake hayo ya dini is up to yeye!
 
ila NAPE huwa simsomi sawasawa kuhusu dini yake....wala sioni tabu kwa kuwa muhimu utendaji wake hayo ya dini is up to yeye!
Nape si ameoa juzi juzi tu? fuatilia ndoa yake alifunga kanisani au msikitini? nadhani utakuwa angalau umejuwa anaabudu dini gani.
 
Mke wako Mwanaisha, watoto wako Nape, Mariam, Joseph, Winnie, Mwate, Samora, Mussa na Bimdo wanakukumbuka na kukuombea sana kwa mungu. Wakwe zako January, Peter,Paul na Grace wanakukumbuka pia. Wajukuu zako Selemani, Adam, Otilia, Sanya, Kareen, Frank Jr wanakukumbuka pia.

Marafiki zako na watanzania kwa ujumla pia wanakukumbuka sana mzee Nnauye.

INNALILAAAHI WA INNAILAIHI RAAJIUUM!

[/QUOTE]

adha waizi labda kama sijui kusoma lakini nionavyo mimi NAPE katajwa hapo kwenye kijani. na kuthusu huko ilikotoka hii thread pengine labda walifanya kuedit jina la NAPE kwa sababu zao binafsi....!!!!
 
:lol:

Mbona huna hata sura ya Mzee Nnauye. Hii ni kazi ya nje tu...................................

so what!! una hakika baba yako ni baba yako , na kama umefanana naye..kwa nini usiwe mtoto wa baba yako mdogo?
 
Na wewe acha ujinga bana, tangazo ni hilo lenye picha Marehemu Mzee Nnauye, achana na hayo maandishi ya kwenye hii thread ya JF. VIPI JOMBA HUONI?

adha waizi labda kama sijui kusoma lakini nionavyo mimi NAPE katajwa hapo kwenye kijani. na kuthusu huko ilikotoka hii thread pengine labda walifanya kuedit jina la NAPE kwa sababu zao binafsi....!!!!
[/QUOTE]
 
adha waizi labda kama sijui kusoma lakini nionavyo mimi NAPE katajwa hapo kwenye kijani. na kuthusu huko ilikotoka hii thread pengine labda walifanya kuedit jina la NAPE kwa sababu zao binafsi....!!!!
[/QUOTE]

Hili Tangazo limeshomolewa kutoka blog na kulipachika hapa. Lilivyo tangazo lenyewe Nape hajajumlishwa katika orodha ya watoto wa Moses. Ila mleta mada ndio kaweka jina hilo, na inawezekana Nape kafanya hivyo ili asidharirike zaidi.
 
Sikujua, hakika sikujua.....KUMBE NINAWAPA TABU SANA MAFISADI...,!!!! Aam so happy

Mbona unahangaika hivyo kwa kubadili ID kutokana na kukosolewa? Ile ID ya nape umeshaiweka kiporo na sasa kujisafisha kwa kuachwa na uliowaita familia yako umeamua kujipachika Mnauye Jr hapa JF? Ungejaribu kujibu maswali ambayo wanajamii forums wamekuuliza hapa kuhusu utata wa jina lako kutokuwepo katika orodha ya watoto wa Mnauye Moses kama inavyoonyeshwa katika tangazo la kumbukumbu.

Nape kama unakumbuka nimejitahidi sana pamoja na wadau wengine kukupa darasa lakini huambiliki. Sisi ni vijana wenzako ambao ungekuwa unatusikiliza ungejijengea heshima kubwa kwa jamii ya watanzania. Ulimwengu wa leo si wa hewala kwa kila unachotumwa, utatumiwa kisha utaachwa umechafuka na wenyewe waliokutumia wakifurahia yao. Kumbuka haya ipo siku utanielewa vizuri tu.

Si kila kikujiachao kichwani basi ukiongee hadharani bila kuchambua athari zake kwako mwenyewe, kwa chama chako na kwa jamii. Bora lawama kuliko fedheha. Kumbuka ungali na ujana na una nafasi kubwa ya kubadilika na kujizoesha kujenga tabia ya subira itakayokupa jambo sahihi la kuongelea mbele ya kadamnasi ambalo utaonekana kuna hekima na busara katika harakati zako. Lakini hili la kuzunguka kila kona na kupayuka tu inatia doa katika maisha yako. Kumbuka ulimwengu wa leo ni wa digital kila ukiongeleacho kesho kitawekwa hadharani.

Jambo jingine la msingi familia yako ndio hazina ya maisha yako. Siasa ni sawa na pande la kanga, kesho likikuchosha utaamua kwenda pale mtaa wa kongo kununua jingine unalolipenda. Familia yako ndio baba na mama yako na zaidi sana ni faraja na furaha katika maisha yako ya kila siku.
 
Nimecheka sana....
 
Mbona hata freeman mboe ana sura ya nyerere,kitanda hakizai haramu kamanda,hata jarume jr ana sura ya mohamed babu lakini yeye ni karume tu mwanzo mwisho!
wewe! unagusa kwenye ugoko! patamu hapo....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…