Kumbukumbu ya Brigedia Gen. Moses Nnauye!

Leo nmepata kujua kwann Nape alimpinga Lowassa kwa nguvu zake zote. Kumbe ilikua ni kisas baada ya kumshawsh mama Moses amkatae kua c mtoto wa Moses Nnauye. Nakumbuka niliwahi kwenda Kwimba nikaoneshwa mama Mzazi wa Nape akiwa idara ya elimu msingi mwaka 2013.
 
Mimi nutamkumbuka sana kwa umahiri waje wa kuoiga kinanda.
Walikuwa watatu kwenye mikuta no ya Mwalimu
Mwk JK Nyere msemaji
Kingunge Reference ya katiba ya chama
Moses Nnauye Mtumbuizaji
 

Pia Nape alikuwa Team Sumaye 2005 so walitaka kumtokomeza, wanamtandao walikubaliana Uenykt apewe Hussein Mohamed Bashe Kumbe Jk alipanga kisiri siri apewe Benno Malisa bila ya kuwajulisha wenzie Lowassa na Rostam
 
Kinyume cha correct ni incorrect, period. Hayo mengine ni Siasa zenu. Hazituhusu

Umenikumbusha Mzee mmoja, aliwahi kuwa ngazi za juu serikalini. Naibu Waziri na baadaye Balozi. Kama Nnauye na wengineo, alizaa-zaa sana lakini mwanae mkubwa aliyemzaa kabla ya kupata madaraka. Huyu ndiyo aliyekuja kutusua na hapo sasa nduguze walikuja kumjua kama Kaka Mkubwa. Wa ndani-ya-ndoa wote galasa! Wengine, binti, ili kutoka wakalala na huyo huyo matokeo yake mtoto zeru-zeru. Dunia ina vituko hii!
 
Falsafa ipi uliyoitoa zaidi ya kutoa maelezo ya jumla jumla yaliyoashiria yote aliyosema Pohamba ni uongo?! Au ukumbushwe ulichoandika?! Hivi ndivyo ulianza maelezo yako:
Wewe ni mwongo. Nape ni mtoto wa nje wa marehemu Moses Nnauye.
Uliyekuwa unambishia alianza hivi:
Nape ni Mtoto wa Moses!

Mama yake Nape hakuwa Mke wa Ndoa wa Bregadia General Moses Nnauye.
Je, uongo hapo uko wapi?! Au kwa uelewa wako "...mtoto wa nje ya ndoa" na "mtoto ambae mama yake hakuwa mke wa ndoa ni vitu tofauti?! Anyway, kisha anaendelea:
Afande Nnauye alikuwa Muislam na Nape ni Mkristo akifuata Dini ya Mama yake ambae ni Mnyiramba wa Singida
Kwa kipande hicho anakuwa tayari ameshajibu hoja zote za msingi kuhusu utata wa Nape kama ambavyo uliwasilishwa na mleta mada! Hoja hizo ni; (i) Nape ni mtoto wa nani, (ii) dini yake ni ipi na (iii) dini ya Mzee Nnauye ni ipi?!

Kwahiyo hoja yako kifalsafa ingekuwa na maana endapo ingekuwa inaeleza kinyume ya hayo aliyosema Pohamba katika kujibu hoja ya msingi kuhusu mzazi wa Nape, dini ya Nape na dini ya Mzee Nnauye!!! Na hapo ndipo ungesema jamaa ni muongo; kwamba, Nape si mtoto wa Mzee Nnauye, sio Mkristo na Mzee Nnauye hakuwa Mwislamu!!!!

Kinyume chake, unasema jamaa ni muongo na kujiegemeza kwenye uana-falsafa wakati hoja uliyosimamia sio hoja ya msingi inayoweza kujibu hoja kuu ya mleta mada kuhusu Nape na Mzee Nnauye!!!

Mbaya zaidi una-conclude:
Nape was neglected by biological father therefore never was he formally mainstreamed in Moses Nnauye's family. Hivyo kitendo cha mamake wa kambo kumkana kilkuwa sahihi.
Hapa unakubali kwamba kumbe ni kweli mama wa kambo wa Nape alimkana Nape!!! Sasa ni mazingira yapi yaliyokuwa yamemfanya huyo mama wa kambo kumkana Nape?! Ni kwamba walikuwa mahakamani wanagombea urithi na ndipo habari za kukanwa kwa Nape zikaripotiwa; au ilitokeaje?!

Hivi hapo napo nina ulazima wa kuwa Mwanafalsafa kufahamu palikuwa na mkono wa mtu?? Na kwamba mkono wenyewe ni wa kisiasa?!
 
...chief umekuwaje leo?
..umetafuta upenyo wa kumuita Pohamba muongo ila napo umefeli!
..nyoosha tu mikono,
.yaishe!
 
Kwa hiyo ni muumin feki????
 
Ni vizuri kitabu kiandikwe kwa ajili ya kumbukumbu,pia akina kinana na wenzao,sijui kwa nini wazee hawa wanakuwaga wazito kuandika vitabu,ninachojua kuandika si lazima afanye yeye,anaweza kufanya makubaliano na watu wakaandika yeye akawa anawapa fact na kupitia chapter kwa chapter kwa kuongeza au kupunguza
 
Mchango wao ni muhimu sana kwa wanaotaka kuandika masuala ya Propaganda and persuasion kuanzia wakati wa ukoloni,wakati wa Uhuru,ujamaa,vita ya kagera,vita baridi,jumuiya za kikanda,vita vya ukombozi na multiparty politics
 
Dah!! Kula [emoji109] historia zao unazijua mkuu
 
Mhh....kwani mkuu wa Mtama kasahaulika kwenye orodha kwa bahati mbaya au makusudi..??
 
Safi mkuu una mambo mengi kichwani mwako, hakika wewe ni hazina ya Taifa hili, andaa kitabu cha kumbukumbuku za hawa wanasiasa wakongwe kwa faida ya wengi siku za usoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…