Kumbukumbu ya Brigedia Gen. Moses Nnauye!

Sina uhakika kama ni baba yake, wanaojuwa waje kutuambia aise..Ila kweli jamaa ananikera akiongea basi tu, ujuaji na nini, hakuna kitu pale, povu tupu...
 
Si ndio kilichofanyika, hakuna uongo hapo
Wewe ulitaka kutuaminisha kuwa mamake wa kambo Nape alimkana [Nape] kwa kuwa alipewa pesa na CCM wakati ukweli ni kuwa marehemu Nnauye hakuwahi kumtambulisha (mainstream) Nape kwenye familia yake.
 
Wewe ulitaka kutuaminisha kuwa mamake wa kambo Nape alimkana [Nape] kwa kuwa alipewa pesa na CCM wakati ukweli ni kuwa marehemu Nnauye hakuwahi kumtambulisha (mainstream) Nape kwenye familia yake.
Ishu sio kupokea pesa, bali ni kumkana.
 
Unamaanisha mzee Moses alimkana Nape kabla hajafariki?
Pengine utakuwa hujui kuwa viongozi wa CCM na hata serikali siku za nyuma walizaa watoto wengi nje ya ndoa ambao hawakuwa-mainstream, Kwa mfano kuna watoto wa Malecela, Kawawa, Sepetu [Wema] na wengine, ambao wanajulikana kuwa watoto wa hao vingunge, lakini licha ya kuwasomesha na baada ya masomo kuwatafutia nafasi nono serikalini, hawakuwahi kuwa-mainstream kwenye familia zao. Nape ni mmoja wao.
 


Sasa kutowatambua rasmi kwny Makaratasi maana yake sio Watoto wako?

Hata Mie Nina watoto sijawatambua kwny Makaratasi laki haimaanishi sio wangu

Hajui kuwa hata Watoto wa Jk wasio rasmi wanakaribiana kwa idadi na wale rasmi, mmoja wapo yupo Shinyanga na ndie Supplier wa Stationeries kwny Migodi kadhaa

Kila alipokaa Jk 'alipatendea haki' kuanzia Singida, Tabora, Nachingwea, Znz n.k
 
Kwa hiyo Nappe Wakati anapokelewa hapo Lumumba Baba yake alikuwa hai au wakati ameshafariki.?
 
Maajabu haya... sasa ni kipi ulichoongea kinachokinzana na yale aliyoongea Pohamba?! Kwamba jina halisi la Mzee Nnauye ni Mussa, au?!

Ukisoma jitahidi kuelewa falsafa ya ujumbe unaotolewa na Mwandishi.
Phrase kuwa: Wakati wa Mchakato wa Uenykt wa UV CCM wanamtandao wa Lowassa wakiongozwa na Mzee Yusuph Rajab Makamba walienda 'kumtengeneza' ni Mwanaisha Mke wa Ndoa wa Afande Nnauye amkane Nape na kweli akasaidiwa kuitisha Press conference akamkana Nape kuwa si wala hajawahi kuwa Mtoto wa Mzee Nauye kwa kuwa kwny Wosia wa Marehemu alioacha Kwny orodha ya Watoto wake Nape hakuwepo!
si sahihi na ilikusudia kutuaminisha kuwa Nape alikuwa anafahamika rasmi kwenye familia ya marehemu Moses Nnauye. This is an incorrect presentation. Nape was neglected by biological father therefore never was he formally mainstreamed in Moses Nnauye's family. Hivyo kitendo cha mamake wa kambo kumkana kilkuwa sahihi.
 
unajua kumekuwa na wanosema ni wa Mwandosya, wa Nauye na wewe ni wa Haule, lazima kuwa na maelezo ya kutosha
 
Hajui kuwa hata Watoto wa Jk wasio rasmi wanakaribiana kwa idadi na wale rasmi, mmoja wapo yupo Shinyanga na ndie Supplier wa Stationeries kwny Migodi kadhaa

Kila alipokaa Jk 'alipatendea haki' kuanzia Singida, Tabora, Nachingwea, Znz n.k
.... sikutaja wote, ila nilisema na viongozi wengineo.....
 

Wewe itakuwa Mtoto Mdogo Mdogo au huna Fikra pana!

Mtoto wako ni wakwako haijalishi ulimtambulisha kwny karatasi za Wosia au ulimfahamisha kwa Mkeo wa Ndoa!

Watoto wa Jk ni wengi kuliko wale aliowatambua kwny CV yake ya kugombea Urais hiyo haimaanishi wale wengine sio Watoto wake!

Wewe ukiwa Mgonjwa unauguzwa na Mkeo wa Ndoa na hukuwahi kumtambulisha kuwa una Watoto wa Nje utapata ujasiri wa kumtambulisha Dakika za Mwisho ukiwa unamtegemea zaid kukuuguza unaposhauriwa andika Wosia?

Sie tuliowahi kuwa karibu kwa namna fulani na Afande Nnauye tulimfahamu zaid Nape Kama Mtoto wake kuliko hao wa kwny Wasia kW kuwa hatukuwahi kumuona nao hao vijiweni kwetu KT Shop na maeneo Mengine.

Usiwe na Mawazo kuwa kila usichokijua ni uongo utakuwa Blocked mind!
 
unajua kumekuwa na wanosema ni wa Mwandosya, wa Nauye na wewe ni wa Haule, lazima kuwa na maelezo ya kutosha
Waonao sema ni wa mwandosya wana speculate tu.
Fact ni Kwamba niliyemsema mimi ndie.
 
Usisahau Dodoma. Hapa napo alifanya yake!
 
Nilichokifanya ni kusahihisha kilichokuwa kimepinda kwenye maelezo ya mchangiaji. Hayo mengine ni hisia ambazo siyo sehemu ya tunachokijadili hapa.
 
Mbona kwenye hiyo "kadi" sioni jina la Nape, ila wewe mleta uzi umeliweka kwenye maneno yako.!!!!!!
 
Nilichokifanya ni kusahihisha kilichokuwa kimepinda kwenye maelezo ya mchangiaji. Hayo mengine ni hisia ambazo siyo sehemu ya tunachokijadili hapa.

Hukupaswa kutumia Nguvu kubwa ile kuita Watu wa Uongo kwa kitu kidogo vile!


Hata Wosia wenyewe tunaweza kuu challenge kwa kuwa uliibuliwa baada ya Nape kuchukua form ya Uenykt wa UV CCM!

Kabla ya hapo hata Watoto wa Ndoa wa Afande Nnauye walikuwa wakimtambua na kuwasiliana na Nape Kama Kaka Yao wa Mama Mwingine

Kwa kukusaidia tu Nape Alikuwa Chipukizi wa Umoja wa Vijana kabla Baba Yale hajafariki
 
Kinyume cha correct ni incorrect, period. Hayo mengine ni Siasa zenu. Hazituhusu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…